She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
Thibitisha Mungu yupo.Huu ni usanii wa waganga kujitangaza! Ukweli Mungu yupo whom we can’t comprehend by our little IQs ila uchawi I can assure u HAUPO
Huu ni usanii wa waganga kujitangaza! Ukweli Mungu yupo whom we can’t comprehend by our little IQs ila uchawi I can assure u HAUPO
Huu ni usanii wa waganga kujitangaza! Ukweli Mungu yupo whom we can’t comprehend by our little IQs ila uchawi I can assure u HAUPO
Ngoja nikueleze mungu yupo Mimi Nina ushahidi? Tena sio mmojaNini kinafanya uamini Mungu yupo lakini uchawi hakuna?
Hebu nisaidie, wale wasioamini uwepo wa Mungu wanaamini katika kipi.?