Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 238
- 272
HufahamikiMUNGU akamshindwa shetani akaona atupe ss wanadamu tupambanee nayeee🤪🤪🤪🤪
Ww kuwezaaa...
Wala ctk kufahamika mkuu wangu ,nikijifahamu mm inatosha ....Hufahamiki
HufahamikiMUNGU akamshindwa shetani akaona atupe ss wanadamu tupambanee nayeee🤪🤪🤪🤪
Ww kuwezaaa...
Basi soma uzi wangu vizuri mstari wa mwishoWala ctk kufahamika mkuu wangu ,nikijifahamu mm inatosha ....
So, who created God?Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Nani aloumba akili yakoSo, who created God?
Jibu hojaHoja zamo ni kama za Waumini wa Kiboko ya Wachawi zama hizo tukiwambia walikua wanajibu hivi hivi kama wamekatwa vichwa.
Jibu swali.Nani aloumba akili yako
Sijaona swali hapo, mada iko huru mtu kucomment chochote.Jibu hoja
Mungu yupo ila vitabu vya dini ndo uongo. Quran ndo upuuzi kabisaIkiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Hamnaa jipyaa ndio Yale yaleHufahamiki
Basi soma uzi wangu vizuri mstari wa mwisho
The only thing I know is GOD exist....So, who created God?
Yeye huyo Mungu wako ni made in wapi ?Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Mungu akivyomuumba binadamu alimuonya kuwa kuna shetani! Aliwapa uamuzi waamue kumfuata Mungu ili wasitawi, au shetani alafu wafe! Binadamu akaamua kumfuata shetani! Sasa kosa la Mungu liko wapi? Acha wadundwe mpaka akili ziwakae sawa!MUNGU akamshindwa shetani akaona atupe ss wanadamu tupambanee nayeee🤪🤪🤪🤪
Ww kuwezaaa...
Kosa lake Mungu lipo hapa yeye alizinguana na shetani akaamua kututupia sisi huku duniani kwa nini asingemtupia hata huko kwenye sayari ya JUPITERMungu akivyomuumba binadamu alimuonya kuwa kuna shetani! Aliwapa uamuzi waamue kumfuata Mungu ili wasitawi, au shetani alafu wafe! Binadamu akaamua kumfuata shetani! Sasa kosa la Mungu liko wapi? Acha wadundwe mpaka akili ziwakae sawa!