Wasioamini Mungu inawahusu

Wasioamini Mungu inawahusu

Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc

Wenye akili tu wataelewa
Hakuna binadamu asiyeamini uwepo wa Mungu, wapo wahuni wachache huwa wanaongea vitu vya kujifurahisha tu ila deep down wanajua wameumbwa na Mungu.
 
Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc

Wenye akili tu wataelewa
Mkuu kipi hicho made ina tanzania....?maana nimeshangaa hadi toothpick made ina china huku tunaletewa tu.
 
Mungu akivyomuumba binadamu alimuonya kuwa kuna shetani! Aliwapa uamuzi waamue kumfuata Mungu ili wasitawi, au shetani alafu wafe! Binadamu akaamua kumfuata shetani! Sasa kosa la Mungu liko wapi? Acha wadundwe mpaka akili ziwakae sawa!
Kosa lake ni kutokushughulika na shetani na badala yake anashughulika na binadamu.

Chukulia mfano corona ilipoingia wataalamu walianza kuumiza vichwa namna Gani corona waitokomeze kabisa.

Kamwe hawakudiri na kuua watu wenye corona Tyr!

Ndivyo Mungu alipaswa amwangamize shetani kabla hata hajafika bustanini.
 
Mimi nimezaliwa sijaumbwa.
Haha ushawahi kujiuliza kama kazi kwako kungelikuwa hakuna boss ingelikuaje?, ushawahi kujiuliza Tanzania kungelikuwa hakuna kiongozi ingelikuaje?

Je ulimwengu je inagelikuaje?
 
Back
Top Bottom