Wasioamini Mungu inawahusu

Wasioamini Mungu inawahusu

Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc

Wenye akili tu wataelewa
Mungu huyo huyo muweza wa yote, ajuaye yote lakini alikuwa anamtafuta Adam na kuuliza uko wapi? Baada ya Adam kujificha?
Au unazungumzia Mungu gani?
 
Kuamini kuna Mungu au Hayupo vyote ni sawa tu,
Maana Waanaoamini na wasioamini wote Wanaamini
So what the Fvc fun!

Concept ya Uungu hata Waanaoamini hawaelewi huyo Mungu/Uungu ni kitu/Kiumbe/Nguvu nk

Watu wa Dini zaidi ya 99% hawajawahi Ona/hisi/gusa
Wala kupata taste ya nguvu za Uungu ila ndio wanaongoza kuwaamisha wenzao Mungu yupo! Mungu yupo! 😁

Wengi humu ile kiukweli kabisa hamjawahi hata kuatach Holly spirit power ukiacha hata kua Consciousness kutambua Uungu unafanye kazi,

Hii inapelekea wengi kuamini tu kwa nadharia wakati vitendo ni zero kutokana na hofu mlizo pandizwa na vilaza waliotengeneza Dini hapo kale
Note: Masuala ya Uungu ni tit for tat ukielewa code utaanza kuendesha mambo ya Mwilini na Roho kama super Computer hizi formula zipo pande zote
Dark power (Magic) na Enlightenment side
(Holly spirit)

Mengine tutaelezana huko mbeleni ya kwamba Uungu ni kama Nguvu za umeme inategemeana na matumizi unayopanga kutumia na connection yake!
 
Nani alie umba akili yako?
Huwezi kumshawishi mtu asie amini uwepo wa MUNGU aamini , unajichosha Bure, watu wa Nazareth walipo mkataa YESU hakuwalazimisha aliwaacha, hoja zao zilikuwa za msingi kwamba huyu ni mtoto wa Yusuf, leo anadai ni MUNGU, waache hoja zao ni za msingi pia.....one thing I know is GOD exist.
 
Nadharia ya Mungu ipo zaidi ya 1000 kwa tamaduni tofauti na kwa tabia tofauti labda wewe unaongelea Nadharia ipi ya Mungu?
Bado hujatoa evidence mkuu haya maneno umetoa wapi

Wewe kama unakata hakuna mungu lete evidence
 
Huwezi kumshawishi mtu asie amini uwepo wa MUNGU aamini , unajichosha Bure, watu wa Nazareth walipo mkataa YESU hakuwalazimisha aliwaacha, hoja zao zilikuwa za msingi kwamba huyu ni mtoto wa Yusuf, leo anadai ni MUNGU, waache hoja zao ni za msingi pia.....one thing I know is GOD exist.
Mkuu nimekuuliza nani kaumba akili yako?
 
Bado hujatoa evidence mkuu haya maneno umetoa wapi

Wewe kama unakata hakuna mungu lete evidence
Nataka kivipi mkuu? Alie fungua uzi wa uwepo wa Mungu ni nan kati ya mimi nawewe? Hayupo ndio , kwani yupo wapi?
 
Nataka kivipi mkuu? Alie fungua uzi wa uwepo wa Mungu ni nan kati ya mimi nawewe? Hayupo ndio , kwani yupo wapi?
Mimi nimetoa evidence kama yupo wewe unaesema hayupo evidence yako ipo wapi
 
Back
Top Bottom