Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mungu unayedai yupo, Yeye aliwezaje kuwepo bila kuumbwa?Hakuna kitu kiliweza kuwepo bila kuumbwa.
Unathibitisha vipi kwamba tuliumbwa?Neno la uchambuzi juu ya kuumbwa na maisha ndilo linalotutambulisha kwamba kweli tuliumbwa.
Huyo aliyetuumba, yeye aliumbwa na nani?
Huwezi ukafosi kwamba sisi tuliumbwa, Halafu umu exclude huyo muumbaji kwenye kuumbwa.
Kama ni hivyo hata sisi, Si lazima tuwe tumeumbwa.
Neno lipi?Lkn kinachotutambulisha zaidi kwamba alietuumba yupo Ni lile neno kwamba anajidhihirisha baada yakumwamini.
Tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi hilo neno ni ukweli na si uongo?
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Tuhakikisha vipi na unathibitishaje, Imani ya hilo neno ni ukweli na si uongo?
Unathibitisha vipi huyo uliyekuwa unamwamini ni Mungu kweli, Na si mauza uza au mawenge yako tu?Sasa, hapa nitakueleza baadhi ya matukio ambayo kimsingi yametokea baada yakumwamini na uyatilie maanani; Kuna wakati nikiwa nimeokoka pia nimepanga na jirani yangu pia alikuwa kaokoka.
Hizi ni hearsay unaongea hapa.Lakini nilikuwa namuwazia vibaya sana ananikera kwa kuhisi ananisengenya na mambo mengine mengi sana kiasi Cha kufikia kunuia kumfanyia Jambo baya sana.
Mungu Ni wa ajabu sana! Kesho yake nilikuwa nimepanga ndo nifanye hilo tukio baya. Lkn asubuhi jirani alinigongea mlango kwa maongezi, akaniambia" uwe na amani, Leo nimeonyeshwa na Mungu kwamba unanifikiria haya" yule jirani alinieleza mambo yote ambayo Ni mawazo ya moyo wangu, Jambo ambalo nilibaki nimeduwaa.
Wala hazina uthibitisho wowote wa uwepo wa huyo Mungu.
Kwanza hapa huu ni Uongo.Kuna matukio mengi ambayo siwezi kueleza hapa na yote ya muhimu na ambayo naoneshwa na ninawaeleza watu kabla hayajatokea Kisha yanatokea Hadi watu wanadai Mimi Ni mchawi lkn wanashindwa kujua uwezo wa Mungu. Mfano meli ya mv spice ya Zanzibar, lile tukio mi nilioneshwa kabisa kabla halijatokea na likatokea.
Tutahakikisha vipi hichi ulicho andika hapa ni ukweli?
Kwa hiyo huyo Mungu badala ya kuokoa hiyo meli ya Mv Spice isizame, Yeye aka kuonyesha kabisa kwamba itazama?
Aloo! Wewe pamoja na huyo Mungu wako mnaonakena ni Wendawazimu kabisa.
Unaandika ngonjera tu hapa na stori uchwara za vilabuni huko.Sasa wewe ambaye huamini katika Mungu unaweza kunieleza hayo yanatokea kwa namna gani?
Ujuaji unakuwa mwingi Hadi mnamkosea Muumba anawaacha hivyohivyo na mawazo yenu yaliyopotoka. Haikuwa rahisi kuwepo kwahiyo maisha haya yanagharama kubwa sana ndo sababu yasu aliumia msalabani kwaajili yenu lkn shingo bado ngumu. Mnatumia nguvu nyingi kumtafuta Mungu kwa njia ya ufinyu wa mawazo na hamtamwona kamwe. Lkn wanao mtii wanamwona kila iitwapo leo.
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.