iArmaniAdamson
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 944
- 289
Haha Mkuu umejibu vizuri. Wao wanalia na wanaowania majimbo ili tusijikite katika kufuatilia atakayekalia kiti kikuu cha kifalme!?
Hapana acha tuwaweke pembeni hawa wadogo na tumjadili huyu mkubwa. Na anatumia pesa chafu na haramu kufanikisha nia na lengo lake!
Ufisadi wake tutakuja kuufichua hata uchaguzi ukimalizika!
tatizo la UKAWA ni priorities, hawajui kupanga lipi la kwanza, ukisikiliza wengi wanasema "tuitoe CCM kwanza alafu mengine baadaye", wanachotakiwa kufanya cha kwanza ni "kumkamata kibaka" aliyefukuzwa CCM akakimbilia ndani ya nyumba yao kwanza ndio watoe CCM.