Wasioishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi tunakutana hapa!


tatizo la UKAWA ni priorities, hawajui kupanga lipi la kwanza, ukisikiliza wengi wanasema "tuitoe CCM kwanza alafu mengine baadaye", wanachotakiwa kufanya cha kwanza ni "kumkamata kibaka" aliyefukuzwa CCM akakimbilia ndani ya nyumba yao kwanza ndio watoe CCM.
 

Sasa wamekuwa mufilisi wa hoja wamebaki kulalama tu na kusema wameichoka CCM. Ukileta hoja kama hii ya kwako utaambulia matusi nguoni
 
Inasikitisha kuona chama kilichopewa nguvu na umma kupingana na ufisadi kinashutumiwa kwa ufisadi na kukaa kimya.
 
Inasikitisha kuona chama kilichopewa nguvu na umma kupingana na ufisadi kinashutumiwa kwa ufisadi na kukaa kimya.

Mkuu ujinga ni pale Raia Tanzania ilipotoa story na evidence ya miamala ya Mbowe, msemaji wa Chadema kaibuka na kuongea vitu vya ajabu ila utetezi wenyewe ni malalamiko tu hakuna facts.
Bora waache tu na warudi kukaa kimya. Sidhani kama kuna mtu na akili timamu na mwenye weledi kabaki Chadema hivi sasa!
 
Wewe mwenyewe mleta tayari ulipobainisha majina ya hao unawaona ni think tank ya JF UMEKUWA BIAS. Usingeli taja majina kwani wewe unaweza kuwaona hivyo wakati mtanzania mwingine hawaoni kwa jicho kama lako.
Umeharibu hapo mwishoni.
 
Sasa wamekuwa mufilisi wa hoja wamebaki kulalama tu na kusema wameichoka CCM. Ukileta hoja kama hii ya kwako utaambulia matusi nguoni
Nani kafukuzwa ccm sio AKILI ZA KONDOO WEWE.??? NIAMBIE HUKO CCM NANI ALIKUWA NA UWEZO WA KUMTIMUA MH LOWASSA? MMEBAKIA KUSHIKILIA MAPUMBU YA MABWANA ZENU WA LUMUMBA WALA MSIJUE LA KUFANYA. HEBU JIKITE KWENYE MAWAZO YA MLETA MADA. AMESEMA UTAJE MUHUJUMU UCHUMI AU FISADI KWA JINA MAARUFU. WEWE NA VIKARAGOSI WENZIO MNAKUJA NA CHEAP POLITICS HAPA. MUDA WAKE SIYO KWENYE UZI HUU. HEBU NITAJIE KIONGOZI MSAFI ALIYEKO CCM UKIANZA NA PALE IKULU.
 
Cha muhimu tupambanie haki ya kikatiba adhabu ya ufisadi na rushwa iwe risasi na kunyongwa respectively.Hapo ndio nadhani tutayaweza haya majitu yenye roho mbaya!
 

Hakufukuzwa bali ALIKATWA na akashikwa na hamaki na kutafuta chaka jipya la kukimbilia ...are you happy?

Acha jazba jadili hoja
 
Wewe mwenyewe mleta tayari ulipobainisha majina ya hao unawaona ni think tank ya JF UMEKUWA BIAS. Usingeli taja majina kwani wewe unaweza kuwaona hivyo wakati mtanzania mwingine hawaoni kwa jicho kama lako.
Umeharibu hapo mwishoni.

Wengine tupo JF wakati wengine mko shule na historia yetu inaonyesha rekodi ya uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Pia wengi wetu hatuyumbishwi na makundi kwani agenda yetu imekuwa kupinga ufisadi ndani na nje ya CCM.
 
Ninashukuru bado watanzania tupo ambao ni vigumu kutulaghai! Fisadi ni fisadi tu!

Tanzania imeepuka kuwekwa rehanil maana Lowassa angekuwa the most powerful president ever, angekuwa self made president, hayo madeni ya kampeni lazima yangelipwa kwanza.
 

Nilijua utadema kauza kumbe ni katoa kiingilio cha kuwa mwanachama, sasa kuna ubaya gani kulipa kiingilio kwenye chama?
 
Ufisadi ndio cancer kubwa ya maendeleo, lazima upigwe vita na we should know the only treatment of cancer is radiation, Magufuli has to radiate the disease in all corners of our blessed nation
 
Maono yanaonesha kuwa Magufuli ataweza kuingia kwenye orodha ya wapinga ufisadi maarufu Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…