Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa kwa soka la tanzania