Wasiojulikana na utekaji siku za mechi za Derby pamoja na ile week ya mechi za CAF

Duh Aisee

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,297
Reaction score
860
Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.

Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.

Sasa nilikuwa nataka kuwauliza, hizi kazi huwa mnapewa ndani ya hizo week au zinakuwa hapo ofisini kwa muda mrefu na mnasubiri hizi tarehe zifike? Najua humu mpo
 
Mbona ni kama mhusika anatoa code vipi mnataka atekwe nani tena
 
Tuthibitishie beyond reasonable doubt tuunge mkono hii hoja mkuu!!
 
Mbona ni kama mhusika anatoa code vipi mnataka atekwe nani tena
Hapana mimi ni mfuagiliaji wa hizi kesi na huwa nashinda page za harakati sio Millard Ayo kwa hiyo kila tukio likitokea naunganisha nimekuwa nikiona matukio mengi kuanzia 2024 yakifanywa week za hizi game kubwa
 
Inaon
Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.

Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.

Sasa nilikuwa nataka kuwauliza, hizi kazi huwa mnapewa ndani ya hizo week au zinakuwa hapo ofisini kwa muda mrefu na mnasubiri hizi tarehe zifike? Najua humu mpo
Inaonekana na wewe ni mhusika..
Usituhadae kwamba umefuatilia yaani wewe kuwa unawafuatilia watekaji?
Huwa unawafaitilia ili iweje?
Huna kazi mpaka uwe unawafatilia hao wauaji halafu ufuatiliaji wako ukawa hauna msaada wowote kwa wananchi?
Haya tuambie mechi ya 10 ulivofatilia nani atatekwa?
 
Toka 2024 unavofatilia umesaidia nini katika jamii kuweza baini hao watekaji.
 
Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.

Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.

Sasa nilikuwa nataka kuwauliza, hizi kazi huwa mnapewa ndani ya hizo week au zinakuwa hapo ofisini kwa muda mrefu na mnasubiri hizi tarehe zifike? Najua humu mpo
Duuuh aseeeh. Umejuaje kama na humu wapo mkuu 😎😎😎😎.
 
Watakosekanaje??? Ni kama muuaji kuhudhuria msiba, wanakuja kusoma reactions baada ya kupiga matukio
 
Inaon
Inaonekana na wewe ni mhusika..
Usituhadae kwamba umefuatilia yaani wewe kuwa unawafuatilia watekaji?
Huwa unawafaitilia ili iweje?
Huna kazi mpaka uwe unawafatilia hao wauaji halafu ufuatiliaji wako ukawa hauna msaada wowote kwa wananchi?
Haya tuambie mechi ya 10 ulivofatilia nani atatekwa?
Kwanini umechukia sana kwani unawahurumia watekaji?
Lazima tutoe taarifa kwa watzanzania waache unyonge kwa namna yoyote wasikubali kutekwa
 
Harakati hazitaki njaa ,harakati zinahitaji kujikana nafsi na maisha yako ,karibu kwenye harakati ila jua ni vita bwana mdogo .
 
Wazee wanateka na kuachia connection, raia wanakusahau mapema.

Usikubali kubebwa kinyonge
 
Back
Top Bottom