Tuthibitishie beyond reasonable doubt tuunge mkono hii hoja mkuu!!Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.
Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.
Sasa nilikuwa nataka kuwauliza, hizi kazi huwa mnapewa ndani ya hizo week au zinakuwa hapo ofisini kwa muda mrefu na mnasubiri hizi tarehe zifike? Najua humu mpo
Hapana mimi ni mfuagiliaji wa hizi kesi na huwa nashinda page za harakati sio Millard Ayo kwa hiyo kila tukio likitokea naunganisha nimekuwa nikiona matukio mengi kuanzia 2024 yakifanywa week za hizi game kubwaMbona ni kama mhusika anatoa code vipi mnataka atekwe nani tena
Inaonekana na wewe ni mhusika..Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.
Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.
Sasa nilikuwa nataka kuwauliza, hizi kazi huwa mnapewa ndani ya hizo week au zinakuwa hapo ofisini kwa muda mrefu na mnasubiri hizi tarehe zifike? Najua humu mpo
Toka 2024 unavofatilia umesaidia nini katika jamii kuweza baini hao watekaji.Hapana mimi ni mfuagiliaji wa hizi kesi na huwa nashinda page za harakati sio Millard Ayo kwa hiyo kila tukio likitokea naunganisha nimekuwa nikiona matukio mengi kuanzia 2024 yakifanywa week za hizi game kubwa
Duuuh aseeeh. Umejuaje kama na humu wapo mkuu ππππ.Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.
Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.
Sasa nilikuwa nataka kuwauliza, hizi kazi huwa mnapewa ndani ya hizo week au zinakuwa hapo ofisini kwa muda mrefu na mnasubiri hizi tarehe zifike? Najua humu mpo
Kwanini umechukia sana kwani unawahurumia watekaji?Inaon
Inaonekana na wewe ni mhusika..
Usituhadae kwamba umefuatilia yaani wewe kuwa unawafuatilia watekaji?
Huwa unawafaitilia ili iweje?
Huna kazi mpaka uwe unawafatilia hao wauaji halafu ufuatiliaji wako ukawa hauna msaada wowote kwa wananchi?
Haya tuambie mechi ya 10 ulivofatilia nani atatekwa?
πππππ Wewe ni kitengo mkuu embu sema eagle au TigerNaandika nyuzi kama hivi na nishawahi peleka taarifa kwa mkuu wa mkoa wa Dar