Wapotee nae wezi sio watu wazuri.....WAlipaswa wamuibe mgombea wao wa urais.
Hahaha sio wezi ni "wasiojulikana".Wapotee nae wezi sio watu wazuri.....
Kwani unadhani wakiiba mali za umma huwa wanapeleka wapi? bank mtawakamata lazima wafiche kwenye ofisi au kuchimbia uvunguniPesa milion 25 kwenye ofisi ya shina zinafanya nini?!
ccm wezi wakisima gepu wanajibia hadi wao wenyewe!Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.
Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.
Source eatv
CCM mtu anaweza kujiibia hata yeye mwenyewe kitu chake mwenyewe.MA-CCM YANAIBIANA YENYEWE KWA YENYEWE HALAFU YANALETA TAHARUKI KWENYE JAMII!
NO REFORMS NO ELECTION
Khaaa..Niite dingi sio mkuu..
Mbna unakosa heshima
Duuh hapo nimekuelewa mkuuKanuni za utunzaji Hela za taasisi unazijua? Yaani mtu anaacha milioni 25 ofisini ( siyo kwenye sefu) aende zake Dodoma, unadhani ni kawaida?