Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

Hapa mnatudanganya yani pikipiki za samia walisimamia wanajeshi JWTZ kila tawi la ccm leo hizo laptop ziwe kama majani ya chai.
Hii ni propaganda ya uchaguzi.
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

Source eatv
Safi sana waache wafirane na kuuana wenyewe hawa pusi
 
Haya ni maigizo ya kijani kuwatoa watz kwenye "No Reforms No Election".
 
Vifaa vya kufanya uchafuzi Oktoba 2025 vimeenda na taarifa nyeti za mipango ya chama kongwe.

TOKA MAKTABA :

KASHFA YA WATERGATE ILIYOMG'OA RAIS WA 37 WA MAREKANI (RICHARD NIXON) KWENYE KITI CHAKE CHA URAIS

Hii ilikuwa ni kashfa kubwa ya kisiasa iliyomkumba Rais wa 37 wa Marekani wakati huo bwana Richard Nixon iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kikatiba miaka ya mwanzoni mwa 1970.

Skendo hii ilianza kama utani utani hivi, ambapo ilipokuja kulipuka baadaye ikamuondosha rais Richard Nixon kwenye kiti chake cha uRais.
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

Source eatv
kama ofisi ya balozi inatumika kuhifadhi mapesa zote hizo na vifaa vyote hivyo ndio ujue CCM ni wezi anzia balozi hadi mwenyekiti wao and swali hizo pesa zote zimepatikanaje ,hivyo vifaa vya kufanyia nini ,hapo palipohifadhiwa jee kwanini vinahifadhiwa ,vilikuwa vya nani,
 
Mil 25 sio ishu mkuu ila hizo laptop 600 duuh

Hapa kuna wazalendo wachache ndani ya mfumo wa serikali (vyombo) ya chama dola kongwe wameamua kuchukua hatua mikononi, kama kashfa maarufu ya Watergate nchini Marekani kuumbua utawala uliopo madarakani na mbinu chafu za kuelekea kutia tick mitano tena

KASHFA YA WATERGATE :

Skandali ya Watergate: THE WATERGATE SCANDAL.
#Historia #Siasa #Marekani

Je, unafahamu kuhusu kashfa ya Watergate iliyoitikisa Marekani miaka ya 1970?
Hii ilikuwa moja ya skandali kubwa zaidi za kisiasa katika historia ya Marekani, iliyopelekea kujiuzulu kwa Rais Richard Nixon mnamo 1974.

Kashfa hii ilihusisha upelelezi haramu dhidi ya chama cha upinzani, kuficha ushahidi, na matumizi mabaya ya madaraka. Wasaidizi wa karibu wa Nixon walihusika katika kuvamia makao makuu ya chama cha Democratic Party yaliyokuwa kwenye jengo la Watergate – ndipo jina hilo lilipotoka!

Wanamwandishi wa habari Bob Woodward na Carl Bernstein wa gazeti la The Washington Post waliufichua ukweli huu kupitia upelelezi wa kina.

Watergate ilibadilisha historia ya siasa za Marekani, ikasisitiza umuhimu wa uwazi, ukweli na uongozi wa kimaadili.

Uchambuzi :

Kashfa ya Watergate: Lini ilitokea na sababu ya kuvunja ofisi kuondoka na vifaa kuelekea uchaguzi​

2012
RAIS WA MAREKANI AJIUZULU KUFUATIA, 'VIBAKA' KUINGIA KATIKA JENGO

View: https://m.youtube.com/watch?v=IHnmriyXYeg

Ingawa umma ulipata upepo wa kashfa hii kwa mara ya kwanza baada ya uvamizi wa Watergate wa Juni 17, 1972, utata ulikuwa wa miaka mingi kuibuka.

Vikundi vilivyo karibu na Ikulu ya White House vilitumia njia zisizo halali kumhakikishia rais wao, Richard Nixon, atachaguliwa kwa muhula wa pili.

Na wizi wa Watergate ulikuwa fursa ya kupeleleza chama cha Democratic.

Haikuchukua muda mrefu kabla ya msururu wa watu kuwafikia watu muhimu katika Chama cha Republican, na ufichuzi ukaanza.

Waandishi wa habari nguli wenyeujasiri Bob Woodward na Carl Bernstein walijitupa kuingia ndani zaidi kubaini tukio hilo la aina yake , na kwa usaidizi kutoka kwa chanzo chao kisichojulikana cha Deep Throat, walisaidia kutatua changamoto zote zilizowekwa na watawala ukweli usijulikane , na hatimaye Kashfa ya Watergate ililazimisha kujiuzulu kwa mara ya kwanza na pekee kwa rais wa Marekani aliyekuwa yupo madarakani
...

Source : http://www.WatchMojo.com learns more about the Watergate Scandal
 
Back
Top Bottom