Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

Source eatv
Ila CCM bana wanatufanya sie mbumbu wemepigana wao kwa wao HALAFU wanadai eti wameibiwa,wanazuga
 
Kwa CCM hakuna tena cha ajabu hapo...wizi ukifikia kilele chake utakuta umejiibia mwenyewe halafu unaanza kupiga mayowe. Babu mwizi, baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi, mtukuu mwizi...mchelea mwana kulia hujikuta akilia yeye. CCM imelaaniwa duniani na akhera.
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

Source eatv
SM 14024.. Hakuna mwizi hapo
 
Hapo ni mkono wa kulia umetoa mfuko wa kulia na kutia katika mfuko wa mkono wa kushoto kwahiyo wamehamisha.
 
hiv lap top 600,?????????????? hata Benson hana hizo
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

#EastAfricaTV
 
Back
Top Bottom