Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
DIVISHENI FOO alikuwepo?
Inapendeza... wezi wameamua kujilipa tu, hongera kwao kwa kulipambania taifa.Wakuu,
Hawa wameibiwa au wamejiibia wenyewe? laptop 600 na million 25 ndani ya ofisi zinafanya nini? wamebaki kuwapa watu kesi ya kuhujumu uchumi wakati wao ndio mafisadi
===
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.
Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.
Chanzo: EATV
anahitaji plate numberkwani ponjoro wa kinondoni naye anasemaje?
Wa tumie gari la serikariWizi wa aina hii huwa unatokea sana Nchi za Magharibi. hasa nyakati za Uchaguzi.
E.g Marekani. Wademokrati na wa Repablikan huwa wanafanyiana huu mchezo kupata taarifa za wapigajl kura wa wapinzani wao, na taarifa zingine, hukosi kusikia haya yakitokea nyakati za Uchaguzi.
Naanza kuwaogopa CHADEMA
Milioni 25 kukaa ndani, tena ofisi ya chama!!???Sio ishu.
Mbona pesa ndogo sana hiyo
Hizo wameiba wenyewe,ccm ni wezi wanajiibia hadi kwenye pochi zao halafu wanasingizia wasiojulikanaWatu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.
Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.
Source eatv
Hahahahaha,halafu kuna 25m cash, kingine ni ofisi ya shina,tawi au kata? Km ni shina mbn ni ukakasiLaptop 600 kwa idadi au ?
Hahahahaha,huu mchezo, halafu kwa ngazi ya CCM ,shina ni ofc ndogo sana, walau ingekua tawi au kataTukio limetokea mwisho wa mwezi wa tano ( 30 May 2025), taarifa inakuja kutolewa June 12!!!!!
Hapo pana ukakasiLaptop 600 kwa idadi au ?
hata kama ingekuwa ya kata laptop 600 haziwezi kutosha, labda waseme wameiba laptop 6 wao wakaamua kuongeza sifuri mbili mbele, na hizo mil 25 itakuwa wamechukua 2500 wazee wa kuongeza wakaongeza sifuri nyingi mbeleHahahahaha,huu mchezo, halafu kwa ngazi ya CCM ,shina ni ofc ndogo sana, walau ingekua tawi au kata
Sawa sawa,na km ni kweli zilikua 600 na pesa 25M basi uchunguzi zaidi ufanyike ,haiwezekani ,, kwanza shina hata ofc hakunahata kama ingekuwa ya kata laptop 600 haziwezi kutosha, labda waseme wameiba laptop 6 wao wakaamua kuongeza sifuri mbili mbele, na hizo mil 25 itakuwa wamechukua 2500 wazee wa kuongeza wakaongeza sifuri nyingi mbele
🤣🤣🤣 Ngoja tuone!!Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.
Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.
Source eatv