Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

#EastAfricaTV
Propaganda
 
Je magazeti, vituo vya televisheni, blogs, online media za Tanzania zimeingia ganzi kuripoti kwa kina Kashfa ya Bonde la Mpunga na CCM 2025 ?

The Watergates papers,

View: https://m.youtube.com/watch?v=UVrGZSxpBEA
Robert Redford, Bob Woodward, and Carl Bernstein recognized the 35th anniversary of the film All the President's Men at the LBJ Library on April 21, 2011. The three entertained the audience with stories of the steps it took to turn the book about Watergate into a film; they took us behind the scenes of filming; and each discussed the impact the film has today, 35 years after its release

Source : theLBJLibrary

18 April 2020
This is the full testimony of Robert Cushman before the Senate Watergate Committee...

View: https://m.youtube.com/watch?v=oo5d9Z87sXU
 
Ukute walipewa bajeti na mama yao ya kuzinunua hizo laps 600, na wala hazikununuliwa. Hawa jamaa upigaji upo damuni.

Ndio najiuliza ina maana wezi walikuja na vibarua wa kuzipakia kwenye gari? Laps 600 sio ishu ndogo!! na walipakia usiku kucha?
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

Source eatv
Laana za utekaji kuua kuwabambikia kesi za uongo watu ndivyo vinawatafuna ibiris wa ccm sasa
 
Ukute walipewa bajeti na mama yao ya kuzinunua hizo laps 600, na wala hazikununuliwa. Hawa jamaa upigaji upo damuni.

Ndio najiuliza ina maana wezi walikuja na vibarua wa kuzipakia kwenye gari? Laps 600 sio ishu ndogo!! na walipakia usiku kucha?
Bulembo na Amos makala ndiyo wamezificha ili wapewe pesa tena ni wizi ni muendelezo wa vitendo haramu vya kishetani huko kwa ibirisi wa ccm
 
Hakuna kitu kimeibiwa hapo huo ni wizi hewa wametengeneza ili wapate kupewa pesa zingine kisha wafanye manunuzi hewa ibirisi wa ccm ni shida sana
 
Usikute zipo kwa Amos makala zimefichwa huko hapo hakuna wizi ni ibirisi wa ccm wamejisogezea huduma wenyewe ccm ni wezi si wakuwaamini hata kidogo
Kabisa
 
Wakuu,
Hawa wameibiwa au wamejiibia wenyewe? laptop 600 na million 25 ndani ya ofisi zinafanya nini? wamebaki kuwapa watu kesi ya kuhujumu uchumi wakati wao ndio mafisadi
===

Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.

Chanzo: EATV
 
Back
Top Bottom