Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

Hapa hutasikia kamanda Jumanne Muliro kujitokeza kutoa taarifa kwa umma juu ya kuvunjwa ofisi Kificho iliyo kinara / hub / kitovu cha data zote za Chama Kongwe

ukimya huu wa kutotoka mbele ni njia ya kusuka waseme ni kuhusu tukio hili bila kuleta mtikisiko?

Jasusi TV Chahali mwana intelejensia mstaafu anahisi kuwa laptop hizo zilikuwa kwa ajili " AITII MASAKI" (Kama hujui maana yake, uliza)

ENEO LA TUKIO / CRIME SCENE


View: https://m.youtube.com/watch?v=3KrGCC5II6g
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.


Source eatv
Red guard.
 
Namba za gari zinaongea mengi; ingeandikwa hivi, "wamechukua pesa" na sio kuiba
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.


Source eatv
Kwa hesabu ya haraka 2bn zimepotea. Kulikuwa na ulinzi wa kuweka laptop 600 eneo hilo? Msiwasumbue polisi kanda fanya uchunguzi, mnajuana. Mmevunja baada ya kuhamisha.
 
Muongazaji wa IGIZO hili elimu yake ni ndogo sana kiasi cha kutokujua KUSOMA NA KUANDIKA.
25M ofisini tena ofisi sijui ya tawi sijui shina au mzizi ama jani kweli?

Hizo ni idadi ya laptops au ni toleo la 600?
 
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.

Akiongea na EATV, Mwenyekiti wa shina hilo, Bakari Mgaza amesema, tukio hilo limetokea Mei 30/2025, wakati viongozi wa shina hilo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokuwa unafanyika jijini Dodoma, ndipo wakapokea taarifa za ofisi yao kuvamiwa majira ya usiku.


Source eatv
Laptop 600 zilikua zije kutumika katika kuiba kura hizo
 
Laptop 600 !? Hata yahoo boys hawawezi fanya hivyo hao waongo
 
Hapa kuna wazalendo wachache ndani ya mfumo wa serikali (vyombo) ya chama dola kongwe wameamua kuchukua hatua mikononi, kama kashfa maarufu ya Watergate nchini Marekani kuumbua utawala uliopo madarakani na mbinu chafu za kuelekea kutia tick mitano tena

KASHFA YA WATERGATE :

Skandali ya Watergate: THE WATERGATE SCANDAL.
#Historia #Siasa #Marekani

Je, unafahamu kuhusu kashfa ya Watergate iliyoitikisa Marekani miaka ya 1970?
Hii ilikuwa moja ya skandali kubwa zaidi za kisiasa katika historia ya Marekani, iliyopelekea kujiuzulu kwa Rais Richard Nixon mnamo 1974.

Kashfa hii ilihusisha upelelezi haramu dhidi ya chama cha upinzani, kuficha ushahidi, na matumizi mabaya ya madaraka. Wasaidizi wa karibu wa Nixon walihusika katika kuvamia makao makuu ya chama cha Democratic Party yaliyokuwa kwenye jengo la Watergate – ndipo jina hilo lilipotoka!

Wanamwandishi wa habari Bob Woodward na Carl Bernstein wa gazeti la The Washington Post waliufichua ukweli huu kupitia upelelezi wa kina.

Watergate ilibadilisha historia ya siasa za Marekani, ikasisitiza umuhimu wa uwazi, ukweli na uongozi wa kimaadili.

Uchambuzi :

Kashfa ya Watergate: Lini ilitokea na sababu ya kuvunja ofisi kuondoka na vifaa kuelekea uchaguzi​


2012
RAIS WA MAREKANI AJIUZULU KUFUATIA, 'VIBAKA' KUINGIA KATIKA JENGO

View: https://m.youtube.com/watch?v=IHnmriyXYeg

Ingawa umma ulipata upepo wa kashfa hii kwa mara ya kwanza baada ya uvamizi wa Watergate wa Juni 17, 1972, utata ulikuwa wa miaka mingi kuibuka.

Vikundi vilivyo karibu na Ikulu ya White House vilitumia njia zisizo halali kumhakikishia rais wao, Richard Nixon, atachaguliwa kwa muhula wa pili.

Na wizi wa Watergate ulikuwa fursa ya kupeleleza chama cha Democratic.

Haikuchukua muda mrefu kabla ya msururu wa watu kuwafikia watu muhimu katika Chama cha Republican, na ufichuzi ukaanza.

Waandishi wa habari nguli wenyeujasiri Bob Woodward na Carl Bernstein walijitupa kuingia ndani zaidi kubaini tukio hilo la aina yake , na kwa usaidizi kutoka kwa chanzo chao kisichojulikana cha Deep Throat, walisaidia kutatua changamoto zote zilizowekwa na watawala ukweli usijulikane , na hatimaye Kashfa ya Watergate ililazimisha kujiuzulu kwa mara ya kwanza na pekee kwa rais wa Marekani aliyekuwa yupo madarakani
...

Source : http://www.WatchMojo.com learns more about the Watergate Scandal

Umeona kusoma haitoshi ukaweka na video zaidi mkuu....
 
Laptops nyingi ni kilo 1 kwenda juu, so laptop mia 6 ni zaidi ya nusu tani
 
Hapa kuna wazalendo wachache ndani ya mfumo wa serikali (vyombo) ya chama dola kongwe wameamua kuchukua hatua mikononi, kama kashfa maarufu ya Watergate nchini Marekani kuumbua utawala uliopo madarakani na mbinu chafu za kuelekea kutia tick mitano tena

KASHFA YA WATERGATE :

Skandali ya Watergate: THE WATERGATE SCANDAL.
#Historia #Siasa #Marekani

Je, unafahamu kuhusu kashfa ya Watergate iliyoitikisa Marekani miaka ya 1970?
Hii ilikuwa moja...


12 Juni 2025
Dar es Salaam,,Tanzania

Ofisi ya CCM Yavamiwa Msasani, Laptop 600 na Fedha Milioni 25 Zaibwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=3KrGCC5II6g

Dar es Salaam, Juni 12, 2025 – Watu wasiojulikana wamevamia na kuvunja Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya Shina Namba 7 iliyopo kata ya Msasani, eneo la Bonde la Mpunga, jijini Dar es Salaam na kuiba mali mbalimbali zikiwemo laptop 600, fedha taslimu Shilingi milioni 25, pamoja na vifaa vya shule na michezo.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8:00, ambapo inadaiwa kuwa wahalifu hao walitumia gari yenye namba za usajili SM 14024 kutekeleza uhalifu huo.

Kwa mujibu wa mashuhuda na viongozi wa shina hilo, wahalifu hao walivunja lango kuu la ofisi hiyo kabla ya kuingia ndani na kuchukua vifaa vyote vilivyokuwa vimehifadhiwa kwa ajili ya shughuli za kijamii na maendeleo ya vijana.

“Tulikuwa tumekusanya vifaa hivi kwa muda kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi na vijana wa michezo katika kata yetu. Tukio hili limetuathiri sana,” alisema mmoja wa viongozi wa shina hilo kwa masharti ya kutotajwa jina.

Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi wa tukio hilo na limeahidi kuwatafuta na kuwafikisha mbele ya sheria wote waliohusika.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni amesema taarifa za awali zinaonesha kuwa tukio hilo limepangwa kwa uangalifu na linaweza kuhusisha watu waliokuwa na taarifa za ndani.

Aidha, amewaomba wananchi wote kutoa ushirikiano na kutoa taarifa zitakazosaidia kuwatambua wahalifu, hasa kuhusiana na gari lililotajwa kutumika katika tukio hilo
 
Back
Top Bottom