Edward Lowassa, Rostam Aziz, Andrew Chenge. "Kikongwe" Ngombalemwiru
Jamani kwa kingunge ni mbunge wa jimbo gani naomba kujua wenye uwelewa?
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
Bado hujayataja mafanikio mkuu(ya miaka karibu 20 ya Ubunge wake wa Mtera)....Mbona Mvumi bado pamedororaa,binafsi nilitegemea Mvumi pangekuwa pameendelea sana...lakini hakuna kitu zaidi ya ile hospitali ya Mvumi mission,na ile shule ya DCT na ule mjengo wa Babu.Kimsingi jimbo la Mtera bado lipo nyuma sana kimaendeleo mkuu,kama ilivyo Bahi na Kongwa...Kwangu mimi naona majimbo ya Chilonwa,Mpwapwa,Kibakwe na Kondoa(yote mawili) ni bora kuliko hata hilo la kwenu la Mtera...Hope safari hii yule jamaa wa MSHIKAMANO atatia timu kamili kamili😀😀- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu? Wewe toa maoni yako na mimi ninaeka yangu mpaka asubuhi, kama huwezi waachie wanaoweza!
FMEs!
we bwana hueleweki vizuri hiyo list umezingatia nini hasa,kwa harakaharaka mi naona umezingatia zaidi udini maana sijaona mwislamu hata mmoja.Unachotaka kuonesha ni kwamba wakristo na wasio wakristo sio wachapa kazi.Kuna takataka nyingi tuuu kama vile,papa Rostamu Aziz,Hawa ghasia,mustafa nkulo,idrisa rashid,shukuru kawmbwa,jumanne maghembe,