mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
Mie huwa ni msomaji tu wa comments za wana JF na hujifunza mengi kutoka kwenu. Leo nimeguswa sana. Naomba niweke MSISITIZO MKUBWA "RITHA MLAKI" ASITHUBUTU KUCHUKUA FORMS ZA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE! Sijui huyu mbunge anatufanyia nini wapiga kura wake. Tangu achaguliwe hajafanya lolote! Anachefua sana sana!