Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Mie huwa ni msomaji tu wa comments za wana JF na hujifunza mengi kutoka kwenu. Leo nimeguswa sana. Naomba niweke MSISITIZO MKUBWA "RITHA MLAKI" ASITHUBUTU KUCHUKUA FORMS ZA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE! Sijui huyu mbunge anatufanyia nini wapiga kura wake. Tangu achaguliwe hajafanya lolote! Anachefua sana sana!
 
Hao mnaoombea waanguke ndio watapita, hiyo ni Tanzania ambayo uwezo au uchapa kazi sio sifa moja wapo ya kukufanya uendelee kubaki kazini.

Tumeona mara nyingi Wazembe wanabaki kazini milele na wale wachapa kazi wachache wanaondolewa kwa kila aina ya visingizio.

wacha tusubiri 2010 na tuone maajabu mengi!
 
Wabunge wote wa awamu ya nne! Wapishe dau tofauti maana wao wamejaa ufisadi.
 
1. Lucas Selelii
2. Harrison Mwakyembe
3. Said Nkumba
4. Wilbrod Slaa
5. Eng.Stella Manyanya
6. Anne Kilango.
7. Zitto Zuber Kabwe.
8. Rashid Hamad Rashid
9. Samwel Sitta
10.John Pombe Magufuli

Wote sababu ni moja tu...wanaligawa Taifa katika makundi.
 
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

13. Kingunge Ngombale Mwiru-ikulu
 
hawa wafuatao pia hawafai kuwepo bungeni next week
Dr. Mzeru - Morogoro
William Ngelleja - Sengerema huyu naye pia anatetea mafisadi wa Richmond
 
Huyu Maghufuli atakuwemo ktk bunge lijalo, labda afanyiwe mizengwe ndani ya ccm,
 
we bwana hueleweki vizuri hiyo list umezingatia nini hasa,kwa harakaharaka mi naona umezingatia zaidi udini maana sijaona mwislamu hata mmoja.Unachotaka kuonesha ni kwamba wakristo na wasio wakristo sio wachapa kazi.Kuna takataka nyingi tuuu kama vile,papa Rostamu Aziz,Hawa ghasia,mustafa nkulo,idrisa rashid,shukuru kawmbwa,jumanne maghembe,
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
 
- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu? Wewe toa maoni yako na mimi ninaeka yangu mpaka asubuhi, kama huwezi waachie wanaoweza!

FMEs!
Bado hujayataja mafanikio mkuu(ya miaka karibu 20 ya Ubunge wake wa Mtera)....Mbona Mvumi bado pamedororaa,binafsi nilitegemea Mvumi pangekuwa pameendelea sana...lakini hakuna kitu zaidi ya ile hospitali ya Mvumi mission,na ile shule ya DCT na ule mjengo wa Babu.Kimsingi jimbo la Mtera bado lipo nyuma sana kimaendeleo mkuu,kama ilivyo Bahi na Kongwa...Kwangu mimi naona majimbo ya Chilonwa,Mpwapwa,Kibakwe na Kondoa(yote mawili) ni bora kuliko hata hilo la kwenu la Mtera...Hope safari hii yule jamaa wa MSHIKAMANO atatia timu kamili kamili😀😀
 
Wabunge wote waliotuhumiwa kwa ufisadi na kungundulika kuwa ni kweli na wale waliojaribu kuwatetea mafisadi kwa njia moja au nyingine waondoke bila kuwaonea haya
 
Last edited:
we bwana hueleweki vizuri hiyo list umezingatia nini hasa,kwa harakaharaka mi naona umezingatia zaidi udini maana sijaona mwislamu hata mmoja.Unachotaka kuonesha ni kwamba wakristo na wasio wakristo sio wachapa kazi.Kuna takataka nyingi tuuu kama vile,papa Rostamu Aziz,Hawa ghasia,mustafa nkulo,idrisa rashid,shukuru kawmbwa,jumanne maghembe,

Ni kweli mkuu hata mimi naona ukweli kwenye statement yako hapa, jamaa kakomaa nao tu
 
Back
Top Bottom