Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
13. Wabunge wote wa CCM waliokuwepo kwenye kikao cha NEC na kukaa kimya wakati bunge linaandamwa kwa kufanya shughuli zake kama inavyotakiwa kikatiba.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
Wakuu woote mmeongea upupu!!
Mimi hapa napanga safu ya awamu ya 5
Raisi Edward Lowassa
Waziri Mkuu Nizar Karamagi
Waziri wa Viwanda Rostam Aziz
Waziri Mambo ya Nje Ibrahim Msabaha- Bangusile Orijino!
Waziri wa Sheria/Katiba Andy Chenge
Waiziri wa Serekali za Mitaa Ngombale Mwiru
Waziri Miundombinu Dr Mahanga
Waziri wa Ulinzi Dr Nchimbi
Waziri Mambo ya Ndani Mkuchika
Waziri wa Maji Nishati Basil Mramba
Waziri wa Ujenzi Daniel Yona
Naendelea kupanga listi itakayokuwa kali kuliko askari wa miamvuli wa miaka hiyo.
Wafuatao wakae mkao wa kusubiri kuitwa:
R Mlaki
M Mkulo
Mh Kapuya
H Ghasia
Zanzibar Mh A M Karume lazima aendelee!!