Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To do so you must come up with an alternative. Umesema nini kifanyike but haujasema haswa hiyo nchi bila bunge litaendeshwaje. How will your idea b implimented logically? Labda unge tueleza kidogo.
Mhe. kama kuna watu mafisadi nchi hii basi MADIWANI nao wako kwenye list. Yaani kwanza hawa uko kwenye kata zao ni kama miungu vile kwa sababu wanafanya maamuzi ambayo hayako hata kwenye description ya kazi zao! Kwangu mimi hawafai kuwa Wabunge hata kidogo!!!Nakubaliana na anayesema tufute bunge hili. Madiwani wanatosha! Miongoni mwao madiwani tuteue ama wachaguane mmoja kila halmashauri, waunde bunge la taifa. Hiyo itakuwa representation tosha na ya kufaa kuliko ya sasa hivi.
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
13. Wabunge wote wa CCM waliokuwepo kwenye kikao cha NEC na kukaa kimya wakati bunge linaandamwa kwa kufanya shughuli zake kama inavyotakiwa kikatiba.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.