kama ni hivyo tupange mikakati mama!uniachie miaka kumi ya sasa wewe utaendelea naloI second you on this one!....Makweta been on the system toka miye nazaliwa namsikia...it's time for a change kwa kweli....
kama ni hivyo tupange mikakati mama!uniachie miaka kumi ya sasa wewe utaendelea nalo
Ndugu Wananchi,
Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi si vibaya tukaelimishana au kutaarifiana wabunge wasiostahili kurudi bungeni.Tutende haki katika hili na kwa mtazamo wangu tueleze:
Jina la Mbunge:Jackson Makweta
Jimbo lake:Njombe Magharibi
Chama Chake:Chama Cha Mafisadi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please) Kutokea siku ya kwanza namsikia alikuwa Mbung, sikumbuki vizuri lakini late 80's
Sababu za kukataa kurudi kwake: Amechoka kiumri na anatakiwa akapimwe akili Jamaica kama bosi wake.

Muhimu pia katiba ibadilishwe Rais asiteue Cabinet toka bungeni,ateue watu wake nje ya bunge halafu alete bungeni wapitishwe...kama Karzai vile
yeah!ile ni njia mojawapo ya kufahamiana!tuachane na hilo,No doubt on that!...Kumbe wewe wakunyumba kabisa alafu ukawa unaniletea kokolo....watu tupo jimbo moja na tunatawaliwa na huyu mzee toka miaka nenda rudi how come?....inakuwa kama hakuna watu wa kumuondoa siju ana sumu gani huyu mzee!.....
kama hao wabunge wanasoma au kama kuna ndugu zao, marafiki zao na wasaidizi wanapita humu jf wawaambia hao wabunge waliotajwa kama wanaona wameonewa waje humu kujitetea.
..Jina la Mbunge:RITA MLAKI
Jimbo lake:KWEChama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Vipindi viwili
Sababu za kukataa kurudi kwake:
- HACHANGII ISSUES BUNGENI
-Hatembelei wapiga kura
- Barabara mbovu
- Huduma za hospitali kwa walalahoi ni shida
- Foleni za barabarani asubuhi na jioni ni kero kubwa
- Inasemekana anachangia kusua kwa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya tanki bovu na club ya rainbow