Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkrumah!
You are not serious! Wabunge wote wa CCM waligawiwa pesa za EPA na ziliwasaidia kwenye kampeni chafu ya mwaka 2005. Aliyekuwa hajui alipewa na chama Tshs. 10m/= KUNA watu kama akina William Ngeleja walipewa above 50m/= na aliyezigawa ni Rostam Aziz1 Cha ajabu hiyo list yako uchwara kama hujatumwa hajmweka RA then this is absurd na hutufai hapa jamii unless hujui unachotaka. Hao wabunge wanaokomalia EPA na ufisadi from CCM wote ni matunda ya UFISADI wanalia baada ya kugundua ya kwamba RA na wanamtandao waliwazidi kete wakachukua pesa nyingi! Therefore wote ni WEZI na manahali wanapostahili ni Jela wote mpaka watulipe fidia labda tuwaue liwe fundisho period!
Well, wakati naisoma hii thread some few months back I overlooked this post. I think everyone of us needs to re-read this one.
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
Tatizo hakuna mwingine aliyejitokeza(kipindi cha nyuma)kugombea zaidi ya hawa.Livingstone Lusinde yeye alikuwa upinzani na katika uchaguzi wa mwaka 2005 alitaka kugombea kwa tiketi ya upinzani lakini katika mazingira ya kutatanisha alijiondoa upinzani na kujiunga na CCM kisha akawa Katibu msaidizi wa CCM wa wilaya ya Kongwa na baadae akapelekwa Tunduru kuwa Katibu wa CCM(w),sina uhakika kama bado yuko Tunduru,Lusinde anafaa kuiongoza Mtera kama ilivyo kwa William Malecela ambaye pia anaonekana anaweza kuvaa viatu vya baba yake...Pia kuna yule bwana anaitwa Hoya(Mshikamano),yeye pia anakubalika sana Mtera akiamua kugombea(pasipo mizengwe) analichukua jimbo la Mtera kulainiiiiHeee imekuwa kupokezana kijiti sasa, kwani hakuna wengine zaidi ya ukoo wa Malecela na mdogo wake Lusinde. Kwa mtaji huu CCM wataendelea kulindana maana wakiondoka wazee wanakuja watoto wao na watoto wadogo miaka.
Wajamii!..........Plus Prof Benedict Mwalyosi wa jimbo la Ludewa. Umri umeenda na uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya siasa ya sasa umepungua saaaaaa.
Wajamii!
Naheshimu sana mawazo yenu kwani ndiyo sifa ya kuwa great thinker! All said and done hawa majmbazi wana power base ya utajirisho kwa mali walizotupora. Kubalini au mkatae a spade shall remain a spade period. Hawa hatuna ubavu wa kuwaondoa through the ballot box hata Marx and Angels pamoja na Vladmir Lenin wanakiri katika maandishi yao kwamba kujenga demokrasia ndani ya umasikini na ujinga uliokubuhu ni ndoto ya mchana the only way out is through a revolution bila mapinduzi hapo bongo itakula kwetu kila siku na wezi wataendelea wakitutambia!! Mwizi kumfukuza mwenye mali look at North Mara hili halikubaliki na uchaguzi sio dawa dawa ni mapinduzi vinginevyo 2010 JMK na atampasia kijiti Membe ifikapo 2015!!!
Lighondi!Kwa asilimia zaidi ya 75 Ndugu Mkereme uko sahihi sana. Lakini mkuu kuna njia nyingi za kupambana. Unaweza kupambana kutoka nje au kutoka ndani humohumo. Kwa maoni yangu, tatizo sio chama, tatizo ni mtu mmojammoja. tunachotakiwa ni kuwa na scale of preference kwamba mwaka ujao tunataka nani na nani waondoke then tunawekeza hapo. ndio maana hata mafisihadi wanataget watu sio chama.
Kwa jinsi vijana walivyojipanga pale kwa jimbo, huyu mzee akipita tena sitakaribia balot nevaaaa!!!!!!!!!
Tuongeze na wabunge wote waliopo NEC. Kuwataja tu haitoshi. Ukiweza kumbadilisha japo mtu mmoja tu kutokuchagua CCM, utakuwa umesaidia mapambano haya.
natamani hili neno majungu lingetolowa kwenye kamusi.yaani ukweli umekua majungu?- Majungu matupu wasirudi ili aingie nani, wewe? Yaaani sasa mnaweza kuwachagulia wananchi nani aongoze majimbo yao? Acheni majungu haya, wananchi wa majimbo ndio wanajua nani anawafaa, labda muongelee majimbo yenu ambayo huwa mnapigia kura, kama kweli huwa mnapiga kura!
- Halafu mtutajie wabunge wanaofaa na walichofanya!
FMEs!