Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Nadhani na mzee wangu wa Mufindi kaskazini Mngai atachukua uamuzi wa busara kama ule wa kutotaka tena uwaziri na atuachie uwanja walume tuonane!
 


Nkrumah!
You are not serious! Wabunge wote wa CCM waligawiwa pesa za EPA na ziliwasaidia kwenye kampeni chafu ya mwaka 2005. Aliyekuwa hajui alipewa na chama Tshs. 10m/= KUNA watu kama akina William Ngeleja walipewa above 50m/= na aliyezigawa ni Rostam Aziz1 Cha ajabu hiyo list yako uchwara kama hujatumwa hajmweka RA then this is absurd na hutufai hapa jamii unless hujui unachotaka. Hao wabunge wanaokomalia EPA na ufisadi from CCM wote ni matunda ya UFISADI wanalia baada ya kugundua ya kwamba RA na wanamtandao waliwazidi kete wakachukua pesa nyingi! Therefore wote ni WEZI na manahali wanapostahili ni Jela wote mpaka watulipe fidia labda tuwaue liwe fundisho period!


Well, wakati naisoma hii thread some few months back I overlooked this post. I think everyone of us needs to re-read this one.
 
Well, wakati naisoma hii thread some few months back I overlooked this post. I think everyone of us needs to re-read this one.

Ukisoma thread vizuri kuna mistari miwili naona haujaielewa vizuri.
1. Hawa ni baadhi tu ya wabunge......
2. Feel free kuongeza majina majina mengine....

I rest my case.
 
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.

Hii ya Same kukosa maendeleo inaweza kuwa mojawapo ya mbinu za Mafisadi wa CCM. Me I like that Mama kwa kweli. But I'm worrying kwamba wote waliotajwa hapo juu (KUONDOKA)wapo katika genge la mafisadi. And remember we have not created enough means kuwaondoa hawa watu. Its still difficult kwa kweli.
 
..........Plus Prof Benedict Mwalyosi wa jimbo la Ludewa. Umri umeenda na uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya siasa ya sasa umepungua saaaaaa.
 
Heee imekuwa kupokezana kijiti sasa, kwani hakuna wengine zaidi ya ukoo wa Malecela na mdogo wake Lusinde. Kwa mtaji huu CCM wataendelea kulindana maana wakiondoka wazee wanakuja watoto wao na watoto wadogo miaka.
Tatizo hakuna mwingine aliyejitokeza(kipindi cha nyuma)kugombea zaidi ya hawa.Livingstone Lusinde yeye alikuwa upinzani na katika uchaguzi wa mwaka 2005 alitaka kugombea kwa tiketi ya upinzani lakini katika mazingira ya kutatanisha alijiondoa upinzani na kujiunga na CCM kisha akawa Katibu msaidizi wa CCM wa wilaya ya Kongwa na baadae akapelekwa Tunduru kuwa Katibu wa CCM(w),sina uhakika kama bado yuko Tunduru,Lusinde anafaa kuiongoza Mtera kama ilivyo kwa William Malecela ambaye pia anaonekana anaweza kuvaa viatu vya baba yake...Pia kuna yule bwana anaitwa Hoya(Mshikamano),yeye pia anakubalika sana Mtera akiamua kugombea(pasipo mizengwe) analichukua jimbo la Mtera kulainiiii
 
..........Plus Prof Benedict Mwalyosi wa jimbo la Ludewa. Umri umeenda na uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya siasa ya sasa umepungua saaaaaa.
Wajamii!

Naheshimu sana mawazo yenu kwani ndiyo sifa ya kuwa great thinker! All said and done hawa majmbazi wana power base ya utajirisho kwa mali walizotupora. Kubalini au mkatae a spade shall remain a spade period. Hawa hatuna ubavu wa kuwaondoa through the ballot box hata Marx and Angels pamoja na Vladmir Lenin wanakiri katika maandishi yao kwamba kujenga demokrasia ndani ya umasikini na ujinga uliokubuhu ni ndoto ya mchana the only way out is through a revolution bila mapinduzi hapo bongo itakula kwetu kila siku na wezi wataendelea wakitutambia!! Mwizi kumfukuza mwenye mali look at North Mara hili halikubaliki na uchaguzi sio dawa dawa ni mapinduzi vinginevyo 2010 JMK na atampasia kijiti Membe ifikapo 2015!!!
 
Wajamii!

Naheshimu sana mawazo yenu kwani ndiyo sifa ya kuwa great thinker! All said and done hawa majmbazi wana power base ya utajirisho kwa mali walizotupora. Kubalini au mkatae a spade shall remain a spade period. Hawa hatuna ubavu wa kuwaondoa through the ballot box hata Marx and Angels pamoja na Vladmir Lenin wanakiri katika maandishi yao kwamba kujenga demokrasia ndani ya umasikini na ujinga uliokubuhu ni ndoto ya mchana the only way out is through a revolution bila mapinduzi hapo bongo itakula kwetu kila siku na wezi wataendelea wakitutambia!! Mwizi kumfukuza mwenye mali look at North Mara hili halikubaliki na uchaguzi sio dawa dawa ni mapinduzi vinginevyo 2010 JMK na atampasia kijiti Membe ifikapo 2015!!!

Kwa asilimia zaidi ya 75 Ndugu Mkereme uko sahihi sana. Lakini mkuu kuna njia nyingi za kupambana. Unaweza kupambana kutoka nje au kutoka ndani humohumo. Kwa maoni yangu, tatizo sio chama, tatizo ni mtu mmojammoja. tunachotakiwa ni kuwa na scale of preference kwamba mwaka ujao tunataka nani na nani waondoke then tunawekeza hapo. ndio maana hata mafisihadi wanataget watu sio chama.

Kwa jinsi vijana walivyojipanga pale kwa jimbo, huyu mzee akipita tena sitakaribia balot nevaaaa!!!!!!!!!
 
Kwa asilimia zaidi ya 75 Ndugu Mkereme uko sahihi sana. Lakini mkuu kuna njia nyingi za kupambana. Unaweza kupambana kutoka nje au kutoka ndani humohumo. Kwa maoni yangu, tatizo sio chama, tatizo ni mtu mmojammoja. tunachotakiwa ni kuwa na scale of preference kwamba mwaka ujao tunataka nani na nani waondoke then tunawekeza hapo. ndio maana hata mafisihadi wanataget watu sio chama.

Kwa jinsi vijana walivyojipanga pale kwa jimbo, huyu mzee akipita tena sitakaribia balot nevaaaa!!!!!!!!!
Lighondi!

Nimekupata hiyo mbinu ya kupitia kwenye ballot haitafanya kazi kwani asilimia 90% ya wanaogombea wana njaa kali na lengo ni kutumia huo mfumo mfu wa sisiem! Kwa sababu hiyo strategy ya kuongezeka ni ndoto kwa sababu hakuna dira wala falsafa nyuma yake kurudi hatua mbili nyuma ili kukusanya nguvu za kupambana na adui bila itikadi na kiongozi shall end you nowhere ni sawa na ule mkanganyiko wa marehemu Nyerere na Kwame Nkrumah; alitaka federation ya papo kwa hapo Nyerere kwa kupenda madaraka aka opt ya kanda of course japo wote wamekufa Africa haijaungana , the Beduim from Libya and president for Life Ghadafi anataka kufast truck AU ili atumie petrol dollar awe rais wa kwanza lakini miafrika mishenzi haimwamini kwani his fourtieth birthday as president is past the door!!! If you opt to wait until you have 200 Dr. Slaa's kwenye bunge mie nawapisha! I feel crying like a baby or a woman hands on the head na makamasi kibao puani!! Count me out
 
Tuongeze na wabunge wote waliopo NEC. Kuwataja tu haitoshi. Ukiweza kumbadilisha japo mtu mmoja tu kutokuchagua CCM, utakuwa umesaidia mapambano haya.


Tumeona list ya wa bunge wa kuondoka, je wale mbadala wako wapi? Ingekuwa vizuri tukiweka jina la mtu wa kuondoka tuweka na jina la mtu ambaye ameonyesha interest ya kugombea hicho kiti kama yupo, si ajabu wengine mpo humu.
 
asisahaulike Solomon Sumari arumeru mashariki
 
i739_jedwali.jpg



More than half of the 332 elected Members of Parliament would be voted out were elections to be held today, according to the latest survey. The independent study commissioned by Mwananchi Communications Limited (MCL) established that the voters were disillusioned with their MPs due to failure to bring about development.

MCL, the publishers of The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi, Mwananchi Jumapili and Mwanaspoti, hired Synovate, formerly known as the Steadman Group, to conduct the research on how the people view the performance of their leaders. The issue of development was found to be a major reason why the people would not vote again for their RE-ELECTABLE MPs

Five per cent of the respondents said they were unhappy with their MPs because they don't visit them often

MPs, whom they elected in the 2005 General Election that brought President Jakaya Kikwete to power. Out of 1,143 respondents, 19 per cent said they had been put off by their MPs' failure to develop their areas.

The survey also indicates that MPs from Iringa Region are more in danger of losing their positions, as only 22 per cent of those interviewed said they would vote for them.

In contrast, their counterparts from Mara Region seem to be the darlings of their voters. Some 74 per cent of the respondents in the region said they would be happy to re-elect their serving MPs.

The survey indicates that 57 per cent of those who were asked: `If the election were called today would you vote for your current MP and why?' said they would not.

Only 42 per cent said they would vote back the current law makers, while one per cent said had not yet made up their minds or declined to comment.

Of 1,143 people who said they would not vote back their MPs, 15 per cent cited their representatives' failure to fulfill their promises. Another eight per cent said it was because their MPs do not care about them.

Interestingly, a similar number of respondents said they would not vote for the serving MPs but they didn't know why.

Seven per cent of the respondents felt that their lawmakers were detached from them, and six per cent were of the opinion that the MPs had done little to improve infrastructure in their constituencies. Another six per cent said the MPs have only been working for their personal gain and not for their people.

Five per cent of the respondents also said they were not happy with their MPs because they don't visit their constituencies frequently. This appears to tally with the findings of a study by another independent research organisation, Afrobarometer, in which the voters said their MPs rarely visited their constituencies. The MPs' conspicuous absence in their constituencies was also noted by President Kikwete, who disclosed during the 22nd anniversary celebrations of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) in February, in Shinyanga, that he had received complaints to that effect from elders in various areas.

As he cautioned the ruling party's MPs that they risked losing their seats to the opposition, President Kikwete announced that he would summon those concerned to a meeting in Dodoma and inform them about the feelings in their constituencies. Since then, there has been no official confirmation that the meeting was ever held or that the President probably changed his tactics.

In the MCL survey, a remarkable five per cent of the respondents said they wanted to replace their MPs for advocating change, while three per cent said their representatives were not doing enough to solve disputes among their electorates. Another three per cent said they would not vote their MP back because he/she does not represent them well in Parliament. Of those who said they would vote back their MPs, 22 per cent of the 833 respondents, said they were satisfied with the way their elected leaders had been doing their work in their constituencies.

A significant 21 per cent said they were happy with their MPs for helping to improve infrastructure, especially roads and provision of electricity, while 12 per cent would reward them with re-election for maintaining good relations with their people.

Eight per cent of the respondents were fond of their MPs because they had helped to improve education standards and facilities in their constituencies, while a similar number were pleased with the politicians for fighting for the citizens' rights.

Other factors the voters cited as reasons for re-electing their MPs, include initiating development and taking the benefits to their people, good representation in the Parliament, donations to worthy causes in their constituencies, and having good policies and leadership skills.

The survey indicates that Singida is another region where voters (63 per cent) are more likely to vote back their serving MPs.

Rankings in other regions, with their percentages in brackets are Tabora (57), Kagera (55), Mtwara (54), and Coast (49).

Others are Mbeya (48 per cent), Kigoma (48 per cent), Shinyanga (46 per cent), and Lindi (45 per cent).

Those, which recorded below 50 per cent, include Pemba (43), Kilimanjaro (42), Arusha (39), Dar es Salaam (37), Tanga (35), Mwanza (34) and Ruvuma (33).

Other regions where MPs are likely not to be re-elected are Rukwa (33 per cent), Morogoro 32 (per cent), Manyara (27 per cent), Dodoma (25 per cent), and Unguja (24 per cent), with last favoured MPs coming from Iringa, where only 22 per cent of the respondents said they would vote back the current leaders.

Some 52 per cent of the respondents were male, with youth aged between 25 and 34 years making 35 per cent of them.

Sixty-two per cent of the respondents had children and 54 per cent had at least basic primary education.

Only one per cent of those who were interviewed had completed university education.

An independently commissioned survey has yielded some interesting results on what the voters feel about the people they elected to Parliament in 2005. Whether the MPs agree with these findings or not is up to them. However, this report coming just over a year to the next elections, is not something they can ignore.

In fact, this is a sort of belated mock exam result that should be a wake-up call to those who have fared badly to re-examine themselves and recharge their batteries to right the wrongs before the whistle is blown. To those cast in a positive light, it should serve as an inspiration to do everything possible to improve on the results and remain at the top.


The survey carried out by Synovate * formerly Steadman Group * on behalf of Mwananchi Communications Limited, indicates that merely 42 per cent of Tanzanians would vote back their MPs if elections were held today.

While only one per cent out of the 1,143 people interviewed were undecided, the remaining 57 per cent posted an emphatic NO! Simply put, half of the 232 elected MPs would not see the inside of the august House in Dodoma if the vote were called now.

Why? Because most of the voters feel cheated. They see no development in their constituencies and are still agonising over the many broken promises. Comments such as he/she is far from his/ her constituency, or he works for his own benefit and not for his/ her people speak volumes on the people's dissatisfaction.

While we appreciate the fact that these findings, like of any other study are not 100 perfect, they are an indicator to the political leaders that they must deliver.

They must realise that the people are increasingly demanding accountability and a sense of responsibility in the leadership. And that these issues will come to play when the people cast their ballots in 2010. We can only hope that the voters will not succumb again to sweet words and takrima from the very non-performing politicians. Doing so will simply mean condemning themselves to perpetual backwardness.

Credit to: The Citizen Newspaper
 
- Majungu matupu wasirudi ili aingie nani, wewe? Yaaani sasa mnaweza kuwachagulia wananchi nani aongoze majimbo yao? Acheni majungu haya, wananchi wa majimbo ndio wanajua nani anawafaa, labda muongelee majimbo yenu ambayo huwa mnapigia kura, kama kweli huwa mnapiga kura!

- Halafu mtutajie wabunge wanaofaa na walichofanya!

FMEs!
natamani hili neno majungu lingetolowa kwenye kamusi.yaani ukweli umekua majungu?
 
Re;wabunge wa kuondoka mwakani;
ni kigezo gani kimetumika kuonesha ukweli wa hayo,au ni kuhisi tu unaonaje ukitoa sababu au vigezo vinavyoweza kuthibitisha ili isionekane ni hisia tu
 
Back
Top Bottom