Pre GE2025 Wassira aihakikishia Marekani uchaguzi kuwa huru na haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
publer-1740070364241.jpg
publer-1740070365968.jpg
publer-1740070362346.jpg
 
===
well done vice chairman 💪👊
 
HAJALALA LEO? UCHAGUZI HAUWEZI LUWA HURU IKIWA TUME NZIMA INACHAGULIWA NA MWENYEKITI WA CCM
 
Wasira ni Mkurungezi/Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi? hapa inaonyesha maelekezo ya uchaguzi yanatoka kwa viongozi wa CCM
 
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.

===

Mzee kaenda kuomba dawa
 
No Reforms, No Elections. Balozi ameweza kujibiwa kipengele hiki na Wassira??😂
 
Back
Top Bottom