mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Paka anamuhakikishia panya uchaguzi wao utakuwa huru😆🤣😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujizima data a.k a kuahirisha kufikiri kizalendo, kumbe hata wazungu hawajuiKama kweli vile
Marekani inahusianaje na uchaguzi wetu? Anatakiwa kutuhakikishia sisi wananchi!WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Siyo muda mrefu Trump anazungumzia Tanzania. Yaani Wasira anadhani jamaa wajinga kiasi hicho, eti CCM inahakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki. Kwa hiyo CCM anagombea, anasimamia na kutangaza matokeo. Jamaa hajuhi hata kuongea kidiplomasia anaongea kiwizi kabisa. Shame!!!!WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Mzee siku izi ameanza kuvaa raba ya rangi nyeusiWASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

KhaaaaaMzee wasira ni mrefu ila kwanini kavaa buti ndefu vile, huyu mzee mhuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hebu litathmini hilo buti hapo kwanza nani kamtafutia mzee wetu hilo buti ?....kavaaa na soksi za kutosha 😂😂😂😂😂 huyu mzee apumzike jamani hatari sana..Khaaaaa
Duh, hilo dundo la Kasongo ni bab kubwa.WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Mbona Lissu alifafanua?Lisu eti hawezi kuzungumza na Wasira!
Watu wanatoka Marekani kuja kumsikiliza Mzee Wasira na kuchota busara zake, sijui huyu Lisu anayesema hawezi kuzungumza na Mzee Wasira yeye ni nani?!
Aloo jombaa 😂😂😂 nani kamnunulia mzee dundo la Reebook la kwenda? Yan hili dundo akifika lumumba mlangoni ye yupo nje dundo lipo ndani yani kama kwa ndani kulikuwa na vijana wanagombania posho za uchawa wanakaa kimya mana wanajua mwenyewe kashafika....hii ndula yake nimeikubali sana. Kuna dingi mmoja alishakuwepogi mwalimu tusiime alikuwa anaitwa Mzee Amiri alikuwa anakula Madundo kama hayo, huyu mzee mshabiki wa yanga nlikuwa naenjoy sana nkikaa nae...kila nikiliangalia dundo lake nlikuwa nacheka sanaDuh, hilo dundo la Kasongo ni bab kubwa.
Je, ccm ipo tayari kufanya mazungumzo na vyama vya upinzani? Wasira : ndiyo.WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
huu ni ukichaa wa wanasiasaWASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
* Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.
Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.
Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.
Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
Katika hatua nyingine, Makamu Mwenyekiti Wasira alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini, Ndg. Yordenis Despaigne.
Makamu Mwenyekiti Wasira na balozi huyo walikubaliana kuendeleza urafiki na ushirikiano wa maendeleo katika nyanja mbalimbali ambao umedumu kwa muda mrefu tangu wakati wa utawala wa swrikali ya awamu ya kwanza chini Hayati Mwalimu Julius Nyerere wa Tanzania na Fidel Castro wa Cuba.
== ==