Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
Anayeongea ni makamu mwenyekiti wa chama tawala ambacho kina wajibu wa kuisimamia serikali kutenda haki kwa wananchi wake wote bila kujali tofauti za vyama vyao!.Anayeongea ni makamu mwenyekiti wa chama kitakachogombea,amejuaje kuwa utakuwa huru na haki? Na je tanzania inaihakikishia marekani kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki,je marekani ni nani mpaka ahakikishiwe? Je hamuwezi kujisimamia?