Pre GE2025 Wassira aihakikishia Marekani uchaguzi kuwa huru na haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Magufuli aliwahakikishia mataifa ya Ulaya kuwa uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru na haki.

Hayo ni maneno tu, vitendo huwa ni opposite.
 
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

* Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.

Katika hatua nyingine, Makamu Mwenyekiti Wasira alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini, Ndg. Yordenis Despaigne.

Makamu Mwenyekiti Wasira na balozi huyo walikubaliana kuendeleza urafiki na ushirikiano wa maendeleo katika nyanja mbalimbali ambao umedumu kwa muda mrefu tangu wakati wa utawala wa swrikali ya awamu ya kwanza chini Hayati Mwalimu Julius Nyerere wa Tanzania na Fidel Castro wa Cuba.

== ==
 
Attachments

  • IMG-20250220-WA0007.jpg
    IMG-20250220-WA0007.jpg
    423.2 KB · Views: 2
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Uchi wake
 
Tunataka Tume HURU na sio utashi wa huyu Babu wa Kishashi.
Lisu eti hawezi kuzungumza na Wasira!
Watu wanatoka Marekani kuja kumsikiliza Mzee Wasira na kuchota busara zake, sijui huyu Lisu anayesema hawezi kuzungumza na Mzee Wasira yeye ni nani?!
 
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
 
Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
bandugu batanzanie

Unafirkiri Mh. Lissu angesema nn kama angekuwepo pale?
 
Kinachochekesha, Kaimu Balozi wa Marekani anaenda kuongea na Mwamba Kabisa Mzee Wassira, halafu mtu mdogo kama Lissu anajitutumua eti HAWEZI kuongea na Mwamba Kabisa Mzee Wassira! Ahahahahaha!!!
 
Mzee wasira ni mrefu ila kwanini kavaa buti ndefu vile, huyu mzee mhuni 😂😂😂😂
Mhuni ni Lissu. Alikuwa anaropoka sana alipokuwa Makamu Mwenyekiti. Sasa hivi kawa Mwenyekiti anashindwa amropokee nani! Na anaonekana amemiss sana kuropoka! Ahahahahaha!!
 
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
A,, anajua anaongea uo,, ongo na mwenzie anajua kila kitu just tu kutaka kuweka reference. CCM hawawezi hata siku moja kuruhusu ufanyike uchaguzi huru na wa haki,, ndiyo maana wako tayari kufanya lolote lile kuhakikisha wanabaki madarakani kwa na mapoyoyo yanashabikia kwakuwa wanatupiwa vijisenti kipindi kama hiki. Mimi wala safari sijisumbui kwende kupoteza muda wangu kwenye mambo ya kipuuzi wao tayari wameshampitisha raisi wala kusiwe tena na uchaguzi bali mama mitano tena halafu mitano tens
 
Mhuni ni Lissu. Alikuwa anaropoka sana alipokuwa Makamu Mwenyekiti. Sasa hivi kawa Mwenyekiti anashindwa amropokee nani! Na anaonekana amemiss sana kuropoka! Ahahahahaha!!
Angalia kiatu alichovaa babu yako 😂😂😂😂😂😂
 
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, utakuwa huru na wa haki.

Ndg. Wasira amesema hayo leo Februari 20, 2025 alipozungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Ndugu Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti Wasira alimweleza kaimu balozi huyo kwamba, Tanzania ni taifa linaloendelea, hivyo amani ya nchi haiwezi kuwekwa rehani.

Katika mazungumzo yao, wawili hao walizungumzia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini baadaye mwaka huu, ambapo Wasira alimhakikishia Lentz kwamba utafanyika kwa uhuru na haki.

Alimwambia Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi huo na kinatarajia kushinda kwa sababu kimetekeleza ahadi za maendeleo zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Kuhusu swali la Kaimu Balozi Lentz kwamba je, CCM ipo tayari kuzungumza na vyama vya upinzani, Wasira alisema ipo tayari na ndiyo msingi wa falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wasira alisema kuwa, R4 zinasisitiza mazungumzo pale ambapo kuna kutofautiana kimisimamo baina ya vyama.
View attachment 3243094View attachment 3243095View attachment 3243096
Mshindani anahakikisha kwamba uchaguzi utakuwa huru na wa haki!? Kwanini isiwe Tume ya Uchaguzi!? Au CCM ndo tume yenyewe?
 
Yeyote anayeamini kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki kwa katiba na utaratibu wa sasa,, ni ng'ombe tu. Anaweza kuwa Tanzanian ng'ombe au american ng'ombe.
 
Back
Top Bottom