ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
Walipindua nini?Kidumu Chama cha mapinduzi
Hivi,mtu na akili zake timamu anaweza kutoka nyumbani kwake ili akakongwe moyo na mzee Wassira?Tuache uongouongo.Siku hizi ni mwendo wa AI!
kazi na utu, tusonge mbele pamojaWASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI
View attachment 3589736Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano.
Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei 16, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika
Uwanja wa Kawawa uliopo Kigoma mjini akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya siku tatu mkoani humo.
== ==
Huyo asili yake ni hifadhi ya Gombe huko KigomaWASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI