ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.