Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Babu amechoka. Seli zimepungua sana kwenye solar panel pale ghorofani
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
CCM ilitegemea tija gani kutoka kwa mtu mwenye miaka 80? Walioweka retirement age walizingatia mambo mengi.
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Mzee mzima anaongea pumba
 
Badala ya kuhangaika kutatua kero za Watanzania, kuisimamia serikali na watendaji wake. Anopeteza muda kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Kwa kauli zake hizo, utasikia hivi karibuni naye akipewa PhD ya heshima. Kwa hiyo safu ya uongozi wa kitaifa itakuwa kama ifuatavyo,.

Dr. SSH .........M/Kiti
Dr. SMW........MM/Kiti
Dr. EJM..........KM

Kupendekezwa kwa KM kuwa mgombea mwenza, basi itamfanya jamaa azidi kutuoa mashuzi mengi ile mbaya.
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Tanzania hakuna "Political Elites", trust me. Kama senior political figure anazungumzia hivyo, Katibu wa Wilaya ataongea nini??

Wasirra is a true reflection of the kind of people we have in our system..
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Binafsi kwa kauli za aina yake SIKU AKIFARIKI Wana mabadiliko/mageuzi watafanya kejeli nyingi sioni Kama mzee atatoboa miaka 20 years ijayo anaongea Kama kuku aliye katwa kichwa
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Simlaumu mzee Wasira.. Nawalaumu waliomteua
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii

Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Ni aibu kwa umri ule anaanza kutukana wengine. Ni aibu sana kwa huyu mzee hajui tu anachofanya
 
Back
Top Bottom