Anaakisi akili ya aliyemteua. Ana siasa za kizamani zisizoendana na wakati. Ni mtu usedMatamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kiti kibaya anakikenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako