Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Mzee wa hovyo saaana Huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyu WASIRA na kinana Nani mkubwa ki-umri? Mzee ananifanya nianze kuchukua hata nguo za kijani!🤮🤮Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Anasema watanzania wananjaa hawataki katiba wanataka chakula. Sasa ajiulizi hiyo njaa ya watanzaia nani amesababishaBadala ya kuhangaika kutatua kero za Watanzania, kuisimamia serikali na watendaji wake. Anopeteza muda kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu.
CCM wanafanya ukatili kwa wanyama kwa huyu kiumbe toka hifadhi ya Gombe kuiishi kwenye makazi binadamuMatamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Tunaposema kuwa CCM ni chama chakavu muwe mnatuelewa,imagine takataka kama Stephen Wasira ndiye Makamu Mwenyekiti Taifa wa CCM.Bunda walimkataa kwa sababu ni mzee, hawezi kuwatumikia kwa kuwa amezeeka sana,, miaka kumi baadae CCM wanamleta akitumikie chama kitaifa,, maajabu haya
Kwa wenzako wanayoyataka ndiyo hayo. Ndiye mtu wa kujibizana na Lissu.Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Wakati mwingine unaweza kufikiri watu wamekuheshimu, kumbe ni kinyume chake!Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Umenena vyema !Mtu huwezi ukawa na akili timamu ukifikisha miaka 80 na zaidi.
Uhuru wa nchi hii umechangiwa na watu wengi wa wakati huo wakiwemo wananchi wa hali ya chini yaani kila mmoja alishiriki kwa sehemu yake kwahiyo si sahihi kikundi cha watu fulani kujiona wao ndiyo wana haki ya kuongoza nchi hii milele na milele.
Siasa za mipasho kama kwenye Taarabu ?!Kwa wenzako wanayoyataka ndiyo hayo. Ndiye mtu wa kujibizana na Lissu.
Donarld Trump ana miaka 79 na bado hajastaafu , na anategemea kuondoka kuondoka ikulu ya white house mwaka 2029 akiwa na miaka 83.CCM ilitegemea tija gani kutoka kwa mtu mwenye miaka 80? Walioweka retirement age walizingatia mambo mengi.
Kuongoza chama kama CCM na kuongoza taifa kubwa kama MAREKANI ni kipi kinahitaji mtu mwenye nguvu kubwa ya akili ?!Mtu huwezi ukawa na akili timamu ukifikisha miaka 80 na zaidi.
Uhuru wa nchi hii umechangiwa na watu wengi wa wakati huo wakiwemo wananchi wa hali ya chini yaani kila mmoja alishiriki kwa sehemu yake kwahiyo si sahihi kikundi cha watu fulani kujiona wao ndiyo wana haki ya kuongoza nchi hii milele na milele.
Babu ameletwa mahususi kuwa bwana mipasho ila sera hana😂Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Sisi Watanzania ni kama kuna mahali tulimkossa Mungu. Ukimsikiliza Makonda, na sasa Wasira ndo utagundua jambo. Na hii yote ni kama Mkakati fulani wa kuichanganya Tanganyika ili kule ngambo ingine kusihojiwe kwa kinachoelekezwa kule. Viongozi hawatembei tena vijijini kutatua kero na kuhamasisha maendeleo kama tulivyozoea. Wamebaki majukwaani kutupiana maneno, semina na makonamano kama ya nishati juzi ambayo hayana impact. Tuna gesi na kila kitu, hatushghulikii ipasavyo kuwezesha itumike bali tunakimbilia kuunganisha nguvu na mataifa hohehahe . Sijaelewa ni akili za wapi hizo. China imepata maendeleo kwa kushirikiana na nani? Hatujifunzi?Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
With all due respect, lakini wewe binafsi unamuona Trump yuko sawa? Hasa ukifuatilia kwa makini kauli na maamuzi yake? Hata hivyo, kumlinganisha Trump na Wasira nadhani ume base kwenye umri tu bila kufikiri kuwa Trump ana back up ya system imara behind him. Sasa kwa babu yako Wasira na CCM hali kila mtu anajua. Lakini zaidi naona umèchangia kimahaba zaidi na CCM na sio rational reasoning.Donarld Trump ana miaka 79 na bado hajastaafu , na anategemea kuondoka kuondoka ikulu ya white house mwaka 2029 akiwa na miaka 83.
Kuongoza chama kama CCM na kuongoza taifa kubwa kama USA ipi inahitaji mtu mwenye nguvu ya akili?!
Nyinyi tulieni sindano za Mzee Wasira ziwaingie na baaaaado hamjasema, na mtasema , yaani lazima mseme!
Dawa ya moto ni moto.Siasa za mipasho kama kwenye Taarabu ?!
Siasa siku zote ni mipasho na propaganda tangu miaka mingi kabla Yesu hajazaliwa!Babu ameletwa mahususi kuwa bwana mipasho ila sera hana😂
Hapa ndo unaweza ukapata uelewa wa ccm ni chama cha namna gani.Bunda walimkataa kwa sababu ni mzee, hawezi kuwatumikia kwa kuwa amezeeka sana,, miaka kumi baadae CCM wanamleta akitumikie chama kitaifa,, maajabu haya