Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke miaka yake ni 70 na akiwa na Nguvu 80

Kuanzia miaka 81 huwezi kumlaumu Kwa chochote!
“Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.

— Zaburi 90:10 (Biblia Takatifu)

huyo mzee mauti Iko mlangoni kabisa!. Yeye shida anayo, waliompa hiyo nafasi ndiyo wenye shida zaidi.

hivi na wewe Mbatizaji ulukuwepo pale UKUMBINI?
 
Wakati mwingine unaweza kufikiri watu wamekuheshimu, kumbe ni kinyume chake!
Yaani mzee wa miaka 80, bado awe na nguvu za kukimbizana na watoto na wajukuu zake?
Hapana, hii haikubaliki.
Ifikie hatua, mtu mwenyewe hujiheshimu na kujithamini kabla ya kuheshimiwa na kuthaminiwa na wengine
Mbona Trump ana miaka 79 na amepewa heshima ya kuongoza taifa kubwa la MAREKANI hadi 2029 ambapo atakuwa na umri wa miaka 83?!
 
“Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.

— Zaburi 90:10 (Biblia Takatifu)

huyo mzee mauti Iko mlangoni kabisa!. Yeye ana shida, walimpa hiyo nafasi ndiyo wenye shida zaidi.

hivi na wewe Mbatizaji ulukuwepo pale UKUMBINI?
Mimi siyo mjumbe Bwashee
 
Kabisa analeta ujinga wa zamani hapa.
Mkuu, zamani watu hawakuwa hivyo; kumbuka tu kwamba, hata Uchagu Mkuu wa Nchi ulikuwa unalindwa na mgambo aliye beba fimbo tu, hapakuwa na polisi; watu wanapanga foleni, kuanzia Mkuu wa Nchi hadi Mwananchi masikini; wanao linda kura wanalinda na wasio taka kulinda wana ondoka na matokeo ya uchaguzi yanatangazwa bila kuwa na purukushani zozote. Hivyo ndivyo Watanzania wa zamani walivyo heshimu KATIBA YA NCHI YAO. Leo, Nchi ina mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbalimbali nje ya Nchi yetu; tuna aina tofauti tofauti ya vyakula na vinywaji vya kisasa, aidha elimu yetu nayo inachangia. Nadhani ni muda muafaka wa kurekebisha mambo yetu kwa faida ya maendeleo ya Nchi yetu.
 
Matusi haya na ya Lema dhidi ya mbowe yepi yanaudhi?
1. Mbowe mwizi
2. Mbowe mlarushwa
3. Mbowe anateka watu wa chadema
4. Mbowe muongo
Mpaka kitabu Lema kamuandikia mbowe. Kisa yeye na kundi lake liongoze chadema
Mkuu, kwa hiyo unataka kutujulisha kwamba status ya Lema ambae ni mjumbe tu wa kamati ya CHADEMA ni sawa na Mzee Wasirra ambae ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala, ambaye ni msaidizi no. 1 wa Rais wa Nchi? Hivi hawa, wewe unawalinganishaje?
 
Kw
Mkuu, zamani watu hawakuwa hivyo; kumbuka tu kwamba, hata Uchagu Mkuu wa Nchi ulikuwa unalindwa na mgambo aliye beba fimbo tu, hapakuwa na polisi; watu wanapanga foleni, kuanzia Mkuu wa Nchi hadi Mwananchi masikini; wanao linda kura wanalinda na wasio taka kulinda wana ondoka na matokeo ya uchaguzi yanatangazwa bila kuwa na purukushani zozote. Hivyo ndivyo Watanzania wa zamani walivyo heshimu KATIBA YA NCHI YAO. Leo, Nchi ina mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbalimbali nje ya Nchi yetu; tuna aina tofauti tofauti ya vyakula na vinywaji vya kisasa, aidha elimu yetu nayo inachangia. Nadhani ni muda muafaka wa kurekebisha mambo yetu kwa faida ya maendeleo ya Nchi yetu.
Kweli ni mgambo tu walikuwa wakionekana. !
Tulikuwaga wastaarabu sana kama tupo Ulaya !
 
Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa Kuna umri mtu akifikia akili zake zinarudi kuwa kama za mtoto wa 0_5 yrs
 
Anasema watanzania wananjaa hawataki katiba wanataka chakula. Sasa ajiulizi hiyo chaa ya watanzaia nani amesababisha
Yes, angeeleza kwanini wana njaa, na mikakati walioipanga kuisimamia serikali kuondoa njaa

Kwa zaidi ya miaka 63 wanapambana na matatizo yaleyale na kupiga porojo zilezile.
 
Daaah
 
Attachments

  • Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    167.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom