Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1.Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Sio kwamba mwili pekee ndio huwa unachoka ukishakuwa Mzee !
Fikra pia huwa zimeshachoka !
Kazi kweli kweli !
 
Huyu Mzee, akataliwe na mambo yake yote..na chama chake nacho tukikatae
 
Aibu aibu aibu aibu
Babu unatukana??
Busara zipo wapi??
Unafundisha jamii kitu gani????
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Yule mzee hajapewa semina kumbe hajui afanye nini? CCM wamsaidie wampe maelekezo kabla hajakuwa kituko kamili.
 
Uyo Mzee kaanza kufanya kazi ya uenezi ya CPA Makala...katibu wa uenezi na propaganda..yawezekana hajui descriptions za iyo position aliyopewa...
Ni kweli ataenda kuleta mtafaruku ndani ya vyama vya uponzani na hata ndani ya CCM wenyewe Kuna mambo atakuja kuyaongea yatawakwaza Sana wale wa CCM wenye mioyo ya mabadiko..
Just take it .
Kwa ufupi kashabowa Sana.
 
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni watachoka. Chunga kauli zako
Wewe unampinga LISU Bado unampinga wasira Babu retire waachie vijana
 
Wewe unampinga LISU Bado unampinga wasira Babu retire waachie vijana
I have reasons to go against Lisu! You may not appreciate my reasons, but are there and sensible for a rationally thinking member of a society!
 
Mtu huwezi ukawa na akili timamu ukifikisha miaka 80 na zaidi.
Uhuru wa nchi hii umechangiwa na watu wengi wa wakati huo wakiwemo wananchi wa hali ya chini yaani kila mmoja alishiriki kwa sehemu yake kwahiyo si sahihi kikundi cha watu fulani kujiona wao ndiyo wana haki ya kuongoza nchi hii milele na milele.
 
Anaweza Kweli Kupiga Campaign Tanzania Yote Muda Ukiwadia
 
Back
Top Bottom