Amsamehe yeye Kama nani huyu kima? Nani kamwambia LISSU anaomba msamaha kwa binadamu? Hapa sasa ndio mjue huyo mama anapotolea jeuri yani toka kwa wanyamapori ndio unategemea asiwe mnyama na yeye hadi kuua watoto wadogo eti wanataka kumpindua! Hata simba porini ana akili ya kupanga mawindo yake sio hii kitu
Kesi haina mashiko kisheria, by saying hatutamsamehe maana yake amekiri mwenyewe kwamba wao ndio walioanzisha na wanaoratibu hiyo kesi. Acha waendelee kujianika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.