Wasira asema: Hatutamsamehe Lisu kesi itaendelea: logical deduction ni ipi? Msikilize Heche hàpa chini

Amsamehe yeye Kama nani huyu kima? Nani kamwambia LISSU anaomba msamaha kwa binadamu? Hapa sasa ndio mjue huyo mama anapotolea jeuri yani toka kwa wanyamapori ndio unategemea asiwe mnyama na yeye hadi kuua watoto wadogo eti wanataka kumpindua! Hata simba porini ana akili ya kupanga mawindo yake sio hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…