Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kumbaff. Haki haidaiwi bali hupokwa. Dec 9 oyeeeeeeee!!!Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini?
Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake
=========
Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira, amewataka wahitimu wa chuo hicho kuwa wazalendo kwa Taifa na kutoa mawazo chanya ili kuijenga Tanzania bora.
Wasira ameeleza hayo leo Novemba 28, 2025 kwa wahitimu 5255 wa kozi mbalimbali ambapo wengi wao ni vijana, na kuwataka kuwa wazalendo na wenye maadili kwani kwa kufanya hivyo ndio njia pekee ya kuitumikia nchi yao.
Hawa majambazi hawana moral authority ya kuhubiri mafundisho ya Mwalimu Nyerere. Kama wangekuwa na utashi wa kufuata hata nusu tu ya mafundisho ya Mwalimu, nchi isingetumbukia kwenye hili shimo iliyomo!Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini?
Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake
=========
Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira, amewataka wahitimu wa chuo hicho kuwa wazalendo kwa Taifa na kutoa mawazo chanya ili kuijenga Tanzania bora.
Wasira ameeleza hayo leo Novemba 28, 2025 kwa wahitimu 5255 wa kozi mbalimbali ambapo wengi wao ni vijana, na kuwataka kuwa wazalendo na wenye maadili kwani kwa kufanya hivyo ndio njia pekee ya kuitumikia nchi yao.
Kwanini unasuburi Hadi mdaiwe si mtoe kablaHivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini?