PostGE2025 Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi

PostGE2025 Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
amani na mazungumzo yanaposhindikana inadaiwa kwa mapambano
 
Huyu wasira ndiye mwenyekiti wa uvcc au ni nani yeye huko ccm?

Kuomba haki kwa amani kukoje?

miumbusheni kwamba HAKI haiombwi.
 
Huyu Mzee Baada ya nyumba yake kusalimiwa ndio amekumbuka haki Sasa! Kuna wazee wa ovyo sana halafu ndio ma-vice councilor wa vyuo.

These old guard have surely expired
Old guards are immortals, wazee kama hawa hawafi mapema sijui kwanini 😀
 
Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini?

Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake
=========
Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira, amewataka wahitimu wa chuo hicho kuwa wazalendo kwa Taifa na kutoa mawazo chanya ili kuijenga Tanzania bora.

Wasira ameeleza hayo leo Novemba 28, 2025 kwa wahitimu 5255 wa kozi mbalimbali ambapo wengi wao ni vijana, na kuwataka kuwa wazalendo na wenye maadili kwani kwa kufanya hivyo ndio njia pekee ya kuitumikia nchi yao.

Ubaguzi WA Rangi WA SA uliondolewa Kwa njia za Amani au Kwa kupigana.

Pili na Nyinyi mliojisimika umiliki wa nchi, mnazuia wapinzani wenu kurekebisha mambo Kwa Amani au Kwa kuvunja sheria
 
Wapumbavu wameanza kuamka kutoka usingizini.

Eti hawa ndio " Sink tank" wao.
 
Katiba imedaiwa kwa Amani, Warioba na watu wake wakatiandikia Katiba, CCM mkaitia kapuni......hapo unataka idaiweje?
 
Back
Top Bottom