PostGE2025 Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
amani na mazungumzo yanaposhindikana inadaiwa kwa mapambano
 
Huyu wasira ndiye mwenyekiti wa uvcc au ni nani yeye huko ccm?

Kuomba haki kwa amani kukoje?

miumbusheni kwamba HAKI haiombwi.
 
Huyu Mzee Baada ya nyumba yake kusalimiwa ndio amekumbuka haki Sasa! Kuna wazee wa ovyo sana halafu ndio ma-vice councilor wa vyuo.

These old guard have surely expired
Old guards are immortals, wazee kama hawa hawafi mapema sijui kwanini 😀
 
Ubaguzi WA Rangi WA SA uliondolewa Kwa njia za Amani au Kwa kupigana.

Pili na Nyinyi mliojisimika umiliki wa nchi, mnazuia wapinzani wenu kurekebisha mambo Kwa Amani au Kwa kuvunja sheria
 
Tarehe 09 lazima vijana watapiga Tena kiberiti🤣🤣
 
Wapumbavu wameanza kuamka kutoka usingizini.

Eti hawa ndio " Sink tank" wao.
 
Katiba imedaiwa kwa Amani, Warioba na watu wake wakatiandikia Katiba, CCM mkaitia kapuni......hapo unataka idaiweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…