Mkosa Kabila
New Member
- Mar 22, 2025
- 1
- 5
For your information, Mzee Wasira hujui mioyoni mwa hao unaojivunia wakoje! Ni vizuri haki ikatendeka. Askari wa shisekedi wanajiunga M23!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo wa kuzuia Uchanguzi Mkuu wa Mwaka 2025 usifanyike na kuwataka Watanzania kuwapuuza Viongozi wa Vyama vya siasa vinavyowahadaa kuhusiana na Uchanguzi na badala yake kuendelea kufanya Maandalizi ya kushiriki haki yao ya Kikatiba ya Kuchagua au kuchaguliwa.
"Ibara ya 41 ya Katiba ya Tanzania inasema hakuna mtu anayeweza kuahirisha Uchanguzi wa Tanzania ila unaweza kuahirishwa kama kuna vita,niwaombe Watanzania msiwasilize hao Viongozi wa CHADEMA wanaopotosha Umma uchanguzi ulikwisha anza tangu zamani,"amesema Wasira.
Sambamba na hili Wasira amesikitishwa na Kitendo cha mmoja wa Kada wa CHADEMA kupigwa baada ya kuonekana hakubaliani na Viongozi wa Chama hicho kuhusiana na Msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi mkuu, kwani imeonesha hawana ukomavu wa kisiasa.
Huu ndio ukweli wenyewe"Ibara ya 41 ya Katiba ya Tanzania inasema hakuna mtu anayeweza kuahirisha Uchanguzi wa Tanzania ila unaweza kuahirishwa kama kuna vita,niwaombe Watanzania msiwasilize hao Viongozi wa CHADEMA wanaopotosha Umma uchanguzi ulikwisha anza tangu zamani,"amesema Wasira.
Yeye mwenyewe mbona hajapuuza??Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo wa kuzuia Uchanguzi Mkuu wa Mwaka 2025 usifanyike na kuwataka Watanzania kuwapuuza Viongozi wa Vyama vya siasa vinavyowahadaa kuhusiana na Uchanguzi na badala yake kuendelea kufanya Maandalizi ya kushiriki haki yao ya Kikatiba ya Kuchagua au kuchaguliwa.
"Ibara ya 41 ya Katiba ya Tanzania inasema hakuna mtu anayeweza kuahirisha Uchanguzi wa Tanzania ila unaweza kuahirishwa kama kuna vita,niwaombe Watanzania msiwasilize hao Viongozi wa CHADEMA wanaopotosha Umma uchanguzi ulikwisha anza tangu zamani,"amesema Wasira.
Sambamba na hili Wasira amesikitishwa na Kitendo cha mmoja wa Kada wa CHADEMA kupigwa baada ya kuonekana hakubaliani na Viongozi wa Chama hicho kuhusiana na Msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi mkuu, kwani imeonesha hawana ukomavu wa kisiasa.
Lisu atakimbilia Ubeligiji sisi wengine hatuna pakumbilia.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo wa kuzuia Uchanguzi Mkuu wa Mwaka 2025 usifanyike na kuwataka Watanzania kuwapuuza Viongozi wa Vyama vya siasa vinavyowahadaa kuhusiana na Uchanguzi na badala yake kuendelea kufanya Maandalizi ya kushiriki haki yao ya Kikatiba ya Kuchagua au kuchaguliwa.
"Ibara ya 41 ya Katiba ya Tanzania inasema hakuna mtu anayeweza kuahirisha Uchanguzi wa Tanzania ila unaweza kuahirishwa kama kuna vita,niwaombe Watanzania msiwasilize hao Viongozi wa CHADEMA wanaopotosha Umma uchanguzi ulikwisha anza tangu zamani,"amesema Wasira.
Sambamba na hili Wasira amesikitishwa na Kitendo cha mmoja wa Kada wa CHADEMA kupigwa baada ya kuonekana hakubaliani na Viongozi wa Chama hicho kuhusiana na Msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi mkuu, kwani imeonesha hawana ukomavu wa kisiasa.
Hatujajiandikisha tutaendaje kupiga kura?No Reform No ElectionHuu ndio ukweli wenyewe
P
Watu hawataenda kupiga kura je hapo kuna kosa?Huu ndio ukweli wenyewe
P
Hakuna, kosa lolote kutokupiga kura.Watu hawataenda kupiga kura je hapo kuna kosa?
Ni kosa la kutotumia civic right kuchagua kiongozi unayemtaka, ni kosa linalosababisha kupatikana Viongozi unpopular!!!Hakuna, kosa lolote kutokupiga kura.
P
Chukua maua yako BabyπππππΈπ·πͺ»βοΈπΊπ»πΌπΈπΉ
Watu wasiende wengine tutaenda ni uhuru wa mtu.Nimejiandikisha na nitaenda kupiga kuraWatu hawataenda kupiga kura je hapo kuna kosa?
Usiwadanganye watanzania.Hatuna pa kukimbilia nyie vita ikitokea mnakimbilia UbeligijiKama mnataka vita basi vita mtaipata, wimbo mbaya habembelezewi mtoto. Hil gendaeka linawaza kipori pori tu
Aliyeleta habari ya vita ni huyo sokwe wenu Mr. Kasongo yeye muda wote anawaza unyang'au tu.Usiwadanganye watanzania.Hatuna pa kukimbilia nyie vita ikitokea mnakimbilia Ubeligiji
UWt mna kazi sanaWatu wasiende wengine tutaenda ni uhuru wa mtu.Nimejiandikisha na nitaenda kupiga kura