PreGE2025 Wasira: Hakuna atakayeweza kuahirisha uchaguzi labda vita itokee

PreGE2025 Wasira: Hakuna atakayeweza kuahirisha uchaguzi labda vita itokee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vipi wewe ameshakutia mimba?
Mimi natia mimba wanawake walioshindikana kushika mimba kama , wewe njoo magetoni tu wiki haipiti unaanza kutema tema mate na kula embe mbichi.
 
Mimi natia mimba wanawake walioshindikana kushika mimba kama , wewe njoo magetoni tu wiki haipiti unaanza kutema tema mate na kula embe mbichi.
Kumbe!! Ngoja nipumzike sasa usiku mwingi huu.
 
Ndio ifuatilie. Alikuwa anaitwa Sanya. Sasa alikuwa hamuungi mkono kwenye kura za maoni Bunda. Baada ya kikao akamshika kidole akamng'ata na kukitupa chini
This can't be true!, it would have been a big news na hii ni jinai ya shambulio la kudhuru mwili, hivyo angetiwa ndani!. Story kubwa kama hii isingeweza kufunikwa funikwa!. I just don't believe this!
P
 
ccm mmeaswa kauli zingine mnazozitoa ni kauli za rerikali na tume, kwa mazingira hayo wewe wasiro ni nani, tumekustai sana itafika mahali hatutajali umri wako, fanya basi hata kidogo kama unajitambue. Mambo mengine iachieni tume na serikali. Wewe ni nani katika nchi hii mpaka ujioteshe mapembe, tambueni kwamba sio kwamba mnajenga bali mnabomoa. Watanzania wote sio vipofu na sio wajinga, tukichoka kukuhesshimu ujue chanzo ni wewe.
 
Kwamba ukiwa mwana sisiem basi wewe ndio mtendaji, wewe ndio mkuu wa wilaya, wewe ndio waziri, jirekebisheni tumewachoka na ngonjera zenu za nursery school, tunajitambua na utoto huu mnaoufanya tunauona.
Mnabahati tu kwamba mimi huwa sipigi kura kwa sababu uchaguzi wetu naujua A to Z
 
ccm mmeaswa kauli zingine mnazozitoa ni kauli za rerikali na tume, kwa mazingira hayo wewe wasiro ni nani, tumekustai sana itafika mahali hatutajali umri wako, fanya basi hata kidogo kama unajitambue. Mambo mengine iachieni tume na serikali. Wewe ni nani katika nchi hii mpaka ujioteshe mapembe, tambueni kwamba sio kwamba mnajenga bali mnabomoa. Watanzania wote sio vipofu na sio wajinga, tukichoka kukuhesshimu ujue chanzo ni wewe.
Wasira hana adabu alimuita Lissu Kibaka na Heche chawa, siyo wa kuheshimiwa kabisa huyu kwa sababu hataki kujiheshimu wala kuheshimu wengine.
 
Back
Top Bottom