MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Kumwita Lissu Kibaka ni kutoheshimu miiko ya uongozi, hilo akae akijua.
Kwa matamshi anayoyatoa yeye ndio ana viashiria vya ukibaka. Kibaka hana staha hata kido. Tutamparura mpaka achutame. eti Lisu ni Kibaka, na yeye ni nani, mzee tunakustahi