PreGE2025 Wasira: Hakuna atakayeweza kuahirisha uchaguzi labda vita itokee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Katiba huwa inaongelewa kwenye faida za ccm tu,ila kwenye faida ya wananchi huwa inawekwa kapuni
 
Kama mnataka vita basi vita mtaipata, wimbo mbaya habembelezewi mtoto. Hil gendaeka linawaza kipori pori tu
Wewe unauwezo hata wa kushika panga? Wewe nyumbu tu hata sasa hivi wakikutaka wanakuchukua kama kuku tu!
 
Aliyeleta habari ya vita ni huyo sokwe wenu Mr. Kasongo yeye muda wote anawaza unyang'au tu.
Wewe nafikiri umeshachoka kukaa TZ. Tuache sisi tuendelee kupata matunda ya uhuru wetu. Unaweza pia kujitundika mtini ili ufe!
 
Amesema.kweli japo kuna waliojitoa akili watanisha. Hivi hao wakiitishaga maandamano tu hayafanyiki ndio eti wazuie uchaguzi 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀. Wanatafuta gia ya kukimbia uchaguzi tu na nilishasema safari ya Chadema kuwa kama TLP na CUF
 
Reactions: UCD
Objectives / Malengo yanahitaji kuwa SMART
  • Specific
  • Measurable
  • Achievable
  • Relevant
  • Time Bound
 
Tundu lisu ameshasema chadema wanatafuta silaha; inashangaza kama mzee Wasira halijui hilo. Au anadhani hizo silaha zinatafutwa za kufanyia nini, kuwindia nguruwe na ngedere maporini?
 
Mbona yeye Wasira aliwahi kumuuma mwenyekiti wa CCM Mara na kumkata kidole kwa meno?
 
Wewe unauwezo hata wa kushika panga? Wewe nyumbu tu hata sasa hivi wakikutaka wanakuchukua kama kuku tu!
Nyumbu mumeo ndiyo maana mwaka wa saba huu ameshindwa kukutia mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…