PostGE2025 Wasira: Kulikuwa na mfumo 'kompyuta mpakato' wa kuchukua Takwimu za kura

PostGE2025 Wasira: Kulikuwa na mfumo 'kompyuta mpakato' wa kuchukua Takwimu za kura

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, Akifanya Mahojiano na BBC Aprili 24, 2026

 
Kitu ambacho hawa watu hawajajua ni kwamba, hiki kizazi kilichopo sasa sio kile kizazi ambacho ungeweza kukidanganya uongo wowote ule.

Wasira anadhani anaongea na watoto wake, anapaswa kujua kwamba anaongea na wajukuu wa watoto wake, huwezi kudanganya hao watu ujinga wa aina hiyo. Watakuona mjinga.
​
 
Nimshauri ajiweke karibu sana na Muumba wake maana siku zake za kuishi siyo nyingi sana, kuliko kutuongelea utumbo.
 
Wasira rudi nyumbani ukavae pampers sio kwa mharo huo. Kwanza aliyepga kura ni nani wewe mzee kama ulikuwa hujui kuwa hichi kizazi ni dangamanya(hicho ni kihindi yaani hakidanganyiki( umefeli saitan wewe
 
Hii fossil inasema kulikua na mfumo .

Huo mfumo uliwezaje kurun bila internet ambayo ilikatika tu masaa 5 baada ya vituo vya kupiga kura kufunguliwa?

Hizo siku zote 3 waliwezaje kujumlisha hizo kura wanazoita milioni 32?
 
Kura Walizohesabu labda ni zile za Tiss ambao wengi walikuwa wa kwanza kabisa vituoni.

Hao mliwaona ona ...pole kwa wajomba ambao ndani ya muda ule system haikuwasoma sijui mlijibu nini.
 
Ikiwa huo ndiyo mtazamo na Imani ya viongozi wetu kuwa kulikuwa na mipango,mipango ikafanyika Mpaka ikafanikiwa Kwa watu kuandamana na kuleta madhara bila vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kugundua basi ninashauri,mkuu wa Idara ya Usalama,Igp na Baraza zima la uslama livunjwe na tuanze upya.

Kwa kuwa kama hili Jambo dogo tu linalodaiwa kuwahusisha watu wasio na ufahamu wa kutosha,juu ya kutunza Siri na limefanikiwa je hali itakuwaje siku wakiungana watu wenye uelewa na mikakati ya kisomi( Mainjiania) na wenye madigrii wa nje ya nchi waliopitia mafunzo mbali.mbali ya kushambulia?

Je tutakuwa salama Kwa viongozi hao?
 
Siyo kwa ubaya

Huyu mzee ilibid abadilike awe nyani kabisa amebakiza stage 1
 
Kenge wa ccm wakisikia kompyuta mpakato wanadhani ni teknolojia kubwa kuwahi kuwepo katika kurahisisha uchakataji wa kuhesabu kura
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, Akifanya Mahojiano na BBC Aprili 24, 2026
Huyu mzee naye atakuwa ni hostage wa CCM, mm sikatai kwamba kuna baadhi ya watu kama engineers (iki maanisha watu wenye uchumi wa juu) hawakutoka kuandamana ila sio kwa sababu 5M haikuwatosha bali they had everything to loose, plus ukandamizaji unawaathiri zaid watu wenye kipato cha chini. Hasira na maumivu yapo zaidi kwa wenye kipato cha chini and the had nothing to loose just their lives when CCM had made them worthless. Zaidi, hakuna mtu alilipa mtu kuandamana, labda kama wataamua kulipa watu wajifanye walilipwa maana hawashidwi na sio mara yao ya Kwanza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom