Pre GE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

Pre GE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu v Wassira jamani hii itakuwa ni Elder Abuse kabisa
 
Itapendeza sanaaaaaaa

Lissu akubali umuone... inaonekana Mzee nae ana maneno maana yupo tayari 😂😂😂 supaaaaa


Kazi iendeleeeee...
🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
Lisu mpira huo katupiwa

Wasafi itisheni mdahalo tuone nani atakimbia huo mdahalo
 
Itapendeza sanaaaaaaa

Lissu akubali umuone... inaonekana Mzee nae ana maneno maana yupo tayari 😂😂😂 supaaaaa


Kazi iendeleeeee...
🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
Lisu sio size ya huyo mzee.
Porojo za huyo mzee akawapotezee muda machawa wa samia huko ccm
 
Sasa Wasira ana ushawishi gani kanda ya ziwa?
Mimi binafsi sioni ushawishi wake unless kuna kanda ya ziwa nyingine tofauti na hii niliyopo
Not ushawishi mzee.
Sometimes the mere mention of someone kutoka eneo lako kikanda au kimkoa... Unaona na sisi tumo.
Mfano mdogo hata kwenye movie hizi za Hollywood wanachanganya actor sababu ya market kwa ethnicity Fulani.
Ukiona mtu mweusi pale mfano.... Unaona hii inanihusu.
Kwahiyo hata kama Hana ushawishi, Yuko pale kama pazia lakini anaonekana.
 
Huu utani wa huyu dingi ni clear offside
angepumzishwa umri umeenda sana!
 
Mfa maji haishi kutapatapa. Muziki wa chadema ya awamu hii (chadema ya lissu) unawatia kiwewe.
 
Wakuu

Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu?

Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao.

View attachment 3225342
Lissu kazoea matusi kwa mbowe. Aende kwa wasira tuone kama lissu hataibika
 
N
Wakuu

Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu?

Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao.

View attachment 3225342
Nimeshauri mara nyingi, mzee angepumzika tu siasa... Umri hauruhusu... Sasa angalia anamtaka Lissu badala ya Heche ambae ndio saizi yake mzee wangu huyu...
 
Yaani Lissu afanye mdahalo na huu msukule kweli? Akafanye na ndugu zake huko hifadhi ya Gombe
 

Attachments

  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 3
  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 3
  • FB_IMG_1738421874362.jpg
    FB_IMG_1738421874362.jpg
    65.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom