Pre GE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mdahalo wa Mwenyekiti wa Chadema vs Makamu Mwenyekiti wa CCM hii ni sawa au mmoja ataonewa hapa

Mdahalo siyo ngumi kwamba ukizidiwa unang'ata sikio

Nimekaa pale 🐼
 
Nimeandika ,,nikafuta ,nimeandika tena nikafuta.

Ila mzee wangemuacha tu apumzike , hizi mbilinge mbilinge hazimfai kwa umri wake
Yaani mtu ambaye hata kuvaa koti hajui eti ni makamu mwenyekiti!! Wonders shall never end.
 
CCM wanakwambia CHADEMA imekufa lakini kutwa wanaitaja huwezi sikia wanaitaja ACT wala CUF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…