PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yeye mwenyewe Wasira anazungumza kama nani maana hayo masuala ni ya Mahakama
 
Na kwa kuwa alisomea applied economics, basi angasaidia sana kuandika vitabu kuhusu kunyanyua sekta ya kilimo kiwe cha kisasa na kiinue uchumi wa wakulima khasa wale wadogowadogo
Yeye mwenyewe uchumi wake ukoje maana nasikia anagombea ubunge mwaka huu
 
Yeye mwenyewe uchumi wake ukoje maana nasikia anagombea ubunge mwaka huu
Watu kama huyu mzee, hutegemea vyanzo mbalimbali na nafasi yake kiserikali hivyo hatuwezi kufahamu khasa kuhusu hali yake kiuchumi.

Hivyo tuhesabie kuwa amejiweka sawa kiuchumi ila kwa namna ipi hicho ni kitendawili.
 
CCM rudisheni hi nyara haraka sana kule hifadhi ya Gombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…