PreGE2025 Wasira: Mimi niliwaambia tuzungumze, Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.

Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.

“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza muda wake wa nini? Kwa hiyo sisi tunawaambia wakiwa na jambo linazungumzika na linawezekana waje tuzungumze.

Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
 
Lissu kila siku anafafanua hoja saba zinazopaswa kufanyiwa reforms.

Akiyekuwa karibu na mzee wetu wasira ampe clip za Lissu anazofafanua aina za reforms wanazodai chadema.

Miaka 80+ bado unang'ang'ania siasa za majukwaani!??? Duuuuuh!
 
Ziandike hapa ili tukusaidie kuzifikisha
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.

Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.

“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza muda wake wa nini? Kwa hiyo sisi tunawaambia wakiwa na jambo linazungumzika na linawezekana waje tuzungumze.

Hili sokwe halijui kuwa Chadema imekaa kwenye mazungumzo na CCM kwa zaidi ya mwaka mzima na mwisho wa siku CCM ikakataa mapendekezo yote ya Chadema tena kwa maandishi.
 
..ACT walikuwa na mazungumzo na serikali halafu wakaunda kikosi kazi na bado uchaguzi umeharibiwa. Pia Raisi amegoma kuteua Wakurugenzi wapya wa Tume ya uchaguzi.
 
Huyu Wasira kweli kazeeka .... CCM inazungumza na CHADEMA kuhusu nini wakati ni vyama viwili vinavyowania kushika DOLA? Lengo la mzee Wasira ni kuyamaliza nje ya utaratibu na matokeo yake kuendelea kuwa kwenye ubatili hadi miaka mitano mingine? Kwa nini majibu ya hoja za CHADEMA yasijibiwe na Serikali kupitia NEC? Kwa nini Bunge lisikamilishe mchakato wa marekebisho ya sheria zinazoipa mamlaka ya Tume ya taifa ya uchaguzi zinazobishaniwa? Kwa nini CCM inapinga hoja za chama kingine kwa ubabe tu kuwa wao wameishamaliza shughuli inayopaswa kufanywa na DOLA? 🤔
 
Wasira ni taahira kabisa apuuzwe na kila mwenye akili timamu
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.

Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.

“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza muda wake wa nini? Kwa hiyo sisi tunawaambia wakiwa na jambo linazungumzika na linawezekana waje tuzungumze.

ccm siyo tume ya uchaguzi
 
Cdm wakijichanganya tu kuingia mezani basi ni kata funua kama waliyofanyiwa ACT😄
NI BORA KUKOMAA TU KULIKO KUAMINI MAMBO YAKO SAFI MKAJIANDAA NA UCHAGUZ WAKATI MWENYEKITI WA TUME NA WAKURUGENZ WA UCHAGUZ NI WALEWALE KIJANI KIBICHI.
komaeni tu na wananchi tunawaunga mkono
 
Lissu ataongea na Samia mwenye mamlaka kama itabidi, kuongea na wewe Wasira ni kupoteza muda sababu huna jipya pia muhumu zaidi huna mamlaka yoyote yale ya kubadili chochote kile.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.

Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.

“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza muda wake wa nini? Kwa hiyo sisi tunawaambia wakiwa na jambo linazungumzika na linawezekana waje tuzungumze.

Watu wasioitakia mema nchi hii, wajua kabisa hiki hakiko sawa lkn kwa kuendekeza matumbo yako wanasema sawa itabidi wafutwe na kikazi kifuatacho,wasionekane popote ktk historia ya nchi kama walishiriki popote ...mfano.yaani kusiwe na kumbukumbu yoyote kwamba kulikua na Mzee Steven Wasira ktk nchi hii
 
Back
Top Bottom