Pre GE2025 Wasira: Othman, Lissu wasitafute mchawi kuzuiwa kuingia Angola. Serikali haisimamii Uwanja wa Angola

Pre GE2025 Wasira: Othman, Lissu wasitafute mchawi kuzuiwa kuingia Angola. Serikali haisimamii Uwanja wa Angola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu mnamshambulia Mzee Wasira bila hoja kama vile wendawazimu. Hao waliozuiliwa warudi wajipange sio kulalamikia serikali ya Tanzania. Serikali ya CCM haihusiki na mambo ya Angola.
 
Watu mnamshambulia Mzee Wasira bila hoja kama vile wendawazimu. Hao waliozuiliwa warudi wajipange sio kulalamikia serikali ya Tanzania. Serikali ya CCM haihusiki na mambo ya Angola.
Wewe wanaume wakiongea chukua kopo ukaipige maji kwanza.
 
Wasira hana akili kwa kweli.

Kwa hiyo Marekani leo Senator wa Democrats akizuiliwa uwanja wa ndege hawataingilia kati just because huku ni Tanzania na sio Marekani na wanaotawala ni Republicans?

Mbona anachochea mbegu mbaya sana ya kuwabagua watu kwa itikadi za kivyama?

Hajui Othman Masoud ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar? Haoni kwa cheo chake tu tukiacha kuwa ni mpinzani ilipaswa Serikali kutoa tamko la kulaani kitendo kile?

Hawa watu acha wajisahau hawajui kesho watakuwa wapinzani. Wanadhani watatawala milele.
Na Lissu ni nani?? Msisafirie nyota ya Makamu wa Kwanza
 
Back
Top Bottom